Duh jide bhaaaaaas,mwacheni anaconda

Asante Charles kwa swali lako...
kwa kifupi mfumo wa utoaji tuzo hizi haujakaa sawa.
Tuzo hizi ni tuzo ambazo kwa kweli ni worst ever ktk utoaji wa tuzo, na ndio maana hata Jide mara kadhaa ashanukuliwa akizisaga japo huwa anashinda pia.
Tuzo hizi ni tuzo ambazo mshiriki fulani anaweza kuwa na ngoma kali zinalizobamba kwa kipindi kireefu sana ktk mwaka, lakini akatokea mpinzani wake ambae nyimbo yake well ni kali ila ikawa haijabamba kama za huyo mwenzie so akaamua kuwekeza katika kutuma sms na end of the Day huyo mwenye nyimbo kali akaangukia komwe...

Hapo ni lazima niwe muwazi, watever Jide kashinda au hata angeshindwa mie tuzo hizi nilishazivuaga nguo those years.

Na ndio maana kwa waliokuwa pale wameeleza masikitiko yao kuwa washindi weengi hawakuwepo jukwaani, hii ni kutokana na tuzo hizi kudharaulika naweza sema.


Ok swali la nyongeza?


TUZO WANAZOPEWA WATOTO WA THT KWA MIAKA MITATU MFULULIZO,KWA UBORA WA NYIMBO NA UANDISHI MAKINI,WANASTAHILI??!!

JE Recho na Linah ni bora kuliko Mwasiti??!! Au kisa Mwasiti hagawi kipochi manyoya kwa miungu mtu ndio maana anapishana na tuzo??!!
 
TUZO WANAZOPEWA WATOTO WA THT KWA MIAKA MITATU MFULULIZO,KWA UBORA WA NYIMBO NA UANDISHI MAKINI,WANASTAHILI??!!

JE Recho na Linah ni bora kuliko Mwasiti??!! Au kisa Mwasiti hagawi kipochi manyoya kwa miungu mtu ndio maana anapishana na tuzo??!!


Ustaadh kipochi manyoya ndo nini?
 
PhD heshima mbele mkuu...
Then i hope bado huja sign out na kupotelea usingizini.
Let me ask u...
Tangu mwaka jana zilipokwisha tolewa tuzo za Kili mpaka mwaka huu je Lady JD katoa nyimbo gani?
Na je nyimbo alioitoa ina zaidi ya Miezi minne?
Je msanii bora wa kike tutampata kwa style hiyo?
Au tutampata kwa wingi wa kura ambao hatujui ni safi au chafu?
Rejea kituko cha tuzo hizo pale walipompa Mpoki Tuzo kwa nyimbo ambayo alicopy kwa contender wake ktk hizohizo tuzo...

Hebu tuhoji basi je Jide kafanya nini cha maana kwa msimu mzima wa Tuzo kilichopelekea japo ajumuishwe kwenye category hiyo?

NB: swali kwa PhD.
Wengine nyoosheni vidole ntawauliza mmoja mmoja.

YAANI MI SIJUI NISEME NINI SASA MANA WATASEMA NIMETUMWA NA RUGE HAO KILI WAMEJISHUSHIA HESHIMA SANA KAMA NDO HIVYO MTU HAJATOA WIMBO ATAKUWAJE MSANII BORA WA MWAKA KWA NYIMBO AMBAZO TARARI ALISHAPATA TUZO?MI KESHO NITAWAFUATA MAPAKA OFIZINI KWAO KUWAULIZA WANIPE UFAFANUZI SIWEZI ACHA HILI LIISHIE HIVI HIVI MPAKA ATAKAPOPEWA TUZO ANAYESTAHILI,uJINGA GANI HUU?
 
sijalala mkuu nilipo hapa ni mchana. Naongozwa na fikra kumuona JIDE kama mwanamziki wa kike aliyesimama imara dhidi ya mfumo wa kinyonyaji baada ya kuijitambua, sihitaji kujua katoa nyimbo ngapi ili kumuunga mkono maana hata hao waliotoa nyimbo kwangu sioni tija, nachokiheshimu ni heshima na jitihada za mtu binafsi katika kusimamia mambo yake. Jioni njema ndugu yangu.

We kweli Phd, maelezo yamenyooka sana mkuu, waswahili husema short and clear. Ubora wa msanii unapaswa kuwa zaidi ya wanachofanya kwenye majukwaa yao ya kazi.

Labda nitoe mfano; Wema asingeweza kuwa mwigizaji bora wa kike pamoja na kwamba nasikia ameweza kumiliki kampuni ya filamu.

Jide anastahili tuzo hiyo hata kama alitoa wimbo wa mwisho 5 yrs back.
 
  • Thanks
Reactions: PhD
jide hakupewa tuzo kwakuwa anastahili; ila busara ilitumika ili kumpunguzia stress.


Tangu apewe tuzo mwaka jana hakuna la maana alilofanya la kumuwezesha kupewa tuzo.
duuu! Umenifurahishsha sana nipm walau tuonane mahali nikupe walau kasoda au maji ya pongezi.hata mi nilikuwa na mawazo hayohayo.anatia huruma sana huyu dada wacha wampunguzie stress.kuiba mume wa mtu si mchezo mwenyewe anaumia anapomuona nae,na sauti yake ya kuigiza kama mtoto jide be yourself!
 
Jide ni mwanamuzika anayejiheshimu na kuheshimu kazi yake ya uanamuzika na ndo maana hata siku moja hujawahi sikia ana skendo za ajabu japokuwa na yeye ana mapungufu yake kama binadamu yeyote,alianza muziki miaka kumi na tatu iliyopita hadi leo bado ana sikika na kusema ukweli jide HACHOKWI hii ni kutokana na ubunifu wake pamoja na umakini kwa chochote kile anachokifanya,she is fire,watanzania hat hili pia hamtaki kukubali???,au mnatak afe kwanza ndo muanze kusema ooh jide alikuwa vile na hivi,uo ni unafiki,wako wapi wakina ray c????

Wanataka awe anafyatua chewing gum kila mwezi ndo wamwone bora.
 
duuu! Umenifurahishsha sana nipm walau tuonane mahali nikupe walau kasoda au maji ya pongezi.hata mi nilikuwa na mawazo hayohayo.anatia huruma sana huyu dada wacha wampunguzie stress.kuiba mume wa mtu si mchezo mwenyewe anaumia anapomuona nae,na sauti yake ya kuigiza kama mtoto jide be yourself!

Mwenye mume kalalamika? Au ndo wewe! Taifa limepata hasarabya kiasi gani kwa huyo mume kuibwa? Namazingira ya kuibwa kwa mume huyo yalikuwaje? Walimvizia akiwa usingizini wakamtia kwenye gunia?
 
No one is perfect na siku zote ukweli una nguvu.

Hongera Jide, sio siri unafanya vizuri katika kazi zako. hayo mengine ni ubinadamu tu na yataisha.
 
Kweli we mgeni apa juzi,jide tuzo hajapat tuzo mwaka jana tu bali hat miaka iliyopita alikuwa anaburuza so tuzo ya jana sio kitu kipya kwake hata ss mashabiki

kweli kaka wewe unajua! Waambie hao vilaza.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom