lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kama wewe ni mume,uko kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka mitano,hujawahi kusafiri kwenda mbali kwa muda mrefu kwa kipindi chote cha ndoa yenu.Ikatokea kipindi fulani ukasafiri ama kwenda masomoni au safari yoyote ya kawaida tu kwa muda wa takribani miezi mitano.
Unaamini mnapendana sana na mke wako,unahisi atakuwa akikumiss sana usipokuwepo.
Sasa bada ya kurudi safari yako ukamkuta mke wako amenenepa na kupendeza sio kawaida kuliko ambavyo ulipokuwapo pamoja nae.
Matumimizi yote ulikua unamwachia vizuri tu,alikua akiishi na wifi yake,yaani mdogo wako.uriporudi ukamkuta mkeo amependeza sana,ana furaha,amani moyoni na kikubwa zaidi amenenepa sio kawaida.Utajisikiaje?