Ndala ndefu
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 237
- 42
Star times ninavyokupenda, ntakunywa sumu juu yako.
magarama yoote ya madishi ya nini kwanza tech ya sasa ni kuharibu shoo ya nyumba kwa kuwekaweka maungo.Bado ninaamini star time ni kimbilio la wanyonge.Watakacho kifanya ni kuweka vipindi vichache vya mpira na vipindi kibao vya ile dini yetu.Tuone kama watafanya equity kwa kuweka vipindi vya ile dini nyingine
Itakuwa borz Kama watazingatia haki na kuacha ubaguzi wao
Ziko hamsini zanje na ndani,stay tune!
...Swali la Channel Ngapi bado halijajibiwa. Msipende kuPost vitu Nusu Nusu. Upofahamishwa kuhusu Bei ulipaswa pia Kuuliza kuhusu idadi na aina ya Channels zilizomo..:A S 39:
unashangaaa goli sita.....ghana 6-1 misri, man 8- ars 1, n.k....Nadhani ilikuwa ni ktk kuwapandisha Pressure jamaa wa STAR TYM Lkn hata hivyo km Bei ndo hiyo kweli bado ni nafuu! Issue ni CHANEL gani zilizopo? au ndo kuonyesha LIGI yakiBONGO2! Mpira wa MIGUU unakuwa na Magoli km Mpira wa maGONGO mechi 1 maGOLI 6! Km watakuwa na Chanel za maana! Basi wasubiri miPESA ya waTANGANYIKA2!
Star times ninavyokupenda, ntakunywa sumu juu yako.