Recent content by Abou_1984

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kurasini: Rais Magufuli azindua Mfumo wa Hati ya Kusafiria wa Kielektroniki. Atoa bilioni 10 kujenga Jengo la Uhamiaji

    Unaweza kuomba e-passport while ile ya zamani haijaisha(expired date)?...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mkwawa High School mpo?

    Mmmh na yule mnoko mgimwa matron lumumba east....sie wa PGM tuliokuwa tunalala mchana ili usiku kwenda msuli jiwe alikuwa nuksi kweli Makyagio kwa bibi kwenye bill ya msosi..long time
  3. A

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Natafuta TOYOTA VOLTZ
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawaiians Anti-Trump protests- with "Welcome to Kenya" placards...

    U don't understand....hiyo Placards ina mdhihaki Trump coz he has always obsessed kuwa Obama was born in Kenya while the truth is he was born in Hawaii
  5. A

    JamiiForums Tanzania BoT wajitafakari kabla ya kuwatuhumu Bloomberg

    Una uhakika hata hiyo microeconomics anajua nn mkuu?Mungu anakuona,ths platform hadi la saba wamo so usishangae kwann hajaelewa Ths is just the beginning,unanunua ndege 6 unalipa cash in USD,unajenga reli with 75% material unaagiza uturuki in USD,muhindi anunui mbazi zako tena,umezuia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wale walinzi ( bodigadi) wanaomlinda Hamissa nani anawalipa kama siyo Diamond?

    Mtu anadaiwa child support hapeleki,ndio aende kumlipia mabaunsa kumlinda?mnajitekenya wnywe,there is nothing more hapo
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

    Hongera Ila unge highlights aina ya mazoezi unayofanya mkuu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Sasa naanza kuonja matunda ya ufugaji samaki

    Ungeweka mawasiliano ili tuweze kukufikia mkuu
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ashinda medali ya dhahabu, Mtanzania ajitutumua na kushinda ya shaba

    Hiyo bronze ya mtanzania sio haba kwanza ukiangalia ni tofauti ya gold to bronze ni kama dakika 1 na sekunde 30 and atapata prize money kama 20000usd.... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

    Well said....ongeza jenerali mwamunyange,IGP mahita
  11. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

    Hawezi akainua simu wakati dhamira yake nikuitafutia nguvu yakisheria kuipisha....I have seen hii kitu ya kukusanya maoni most of hayo maoni ni put on a show coz in really sense mtu wa nje hawezi kujua maoni yanaupande gani zaidi ya hao wenyw ewura so he got what he deserved....like...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

    Nani amekwambia hawezi kumfuta kazi?waziri wa maji anareport kwa waziri mkuu,yy ndio anaoversee the whole government activities.....so basically akona authority yakutengua The thing is EWURA ako na interest sehemu nying,from tanesco to energy we use day to day!hawa wakurugenzi wanahudhuria vikao...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Comey akitoa ushahidi dhidi ya Trump unaohusu madai ya Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani

    But kwa watu wa Intelligence community anawatoa kimasomaso coz trump is BULL
  14. A

    JamiiForums Tanzania Comey akitoa ushahidi dhidi ya Trump unaohusu madai ya Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani

    He is nailing it considering both democrats na republicans wanamuna msaliti
  15. A

    JamiiForums Tanzania Comey akitoa ushahidi dhidi ya Trump unaohusu madai ya Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani

    Brother this is open settings kunavitu hawezi kuongea wazi mpk classified briefing
Back
Top Bottom