gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Lowassa hekima na busara ni kama samaki na maji
Well said....ongeza jenerali mwamunyange,IGP mahitaHapana Kuna Vyeo Kama ukivishika Utaendelea kuwa navyo
Balozi Hamis Kagasheki
President Obama
Secretary Hillary Clinton
Waziri Mkuu Lowassa
Judge Lubuva
President Bush
President Kikwete
Rais Mwinyi
Hatutaki pongezi za mafisadi!!
Waziri Mkuu wa awamu ya 4 Ampongeza Dr. John Magufuli.
Haina shobo,akihojiwa, na katiba ifanyiwe amendment kinga kwa Marais wanapo staafuu washitakiwe,haingii akilini waziri asaini mkataba bila mkullu kujuwa?Afukuwe makaburiNa yeye asubiri kuhojiwa
Makomeo ni chagua la shetaniMagufuli ni chaguo la Mungu
hata yeye lowasa anahusika...wizi wote uliofanyika huwezi kumweka pembeni lowasa Wala magufuliLowassa ameongea ukweli lakini hakutakiwa kumpongeza Raisi kwa sababu naye amehusika katika kupitisha sheria mbovu za mikataba ya madini.
Lowassa ameongea ukweli lakini hakutakiwa kumpongeza Raisi kwa sababu naye amehusika katika kupitisha sheria mbovu za mikataba ya madini.
AKHSANTE SANA MZEE.
....Shehe Kundecha, Askofu Mokiwa, Padri Karugendo, Brigedia Ngwilizi, Sipika Makinda, Koplo Milanzi,Profesa Shivji....Balozi Hamis Kagasheki
President Obama
Secretary Hillary Clinton
Waziri Mkuu Lowassa
Judge Lubuva
President Bush
President Kikwete
Rais Mwinyi
Anaomba poo!MZEE NAKUOMBA UJE UMCHUKULIE HATUA KALI SANA KUBENEA , KUMBE UNAHEKIMA HIVYO, ALITUHAMINISHA WEWE NI FISADI. KWAHILI NAKUUNGA MKONOView attachment 523400