Sasa naanza kuonja matunda ya ufugaji samaki

Sasa naanza kuonja matunda ya ufugaji samaki

Ulitumia garama kiasi gani tangu uanze na faida imekaaje boss ili tupate moyo wa kuanza..
 
Naomba kujua kidogo kuhusu kambale hasa uzito wao baada ya miezi sita.
Ni mbinu gani inafaa kutiririsha maji hasa unapoyabadili?
 
Nafarijika sana na hii kazi unayoifanya
Ni wakati mwafaka sasa tujikite kwenye kilimo na ufugaji tuachene na madini makinikia
Siku tukipata uwezo wa kuyachimba wenyewe basi tutayachimba
 
Back
Top Bottom