Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

IMG-20170611-WA0001.jpg
 
..hii ngoma nadhani haijakaa sawa.

..mkurugenzi amechukuliwa hatua na Waziri Mkuu lakini taarifa inatolewa na Mkurugenzi wa Habari Ikulu.

..kwanini taarifa hiyo haikutolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu?

..Pia Mkurugenzi Mkuu wa Ewura anateuliwa na Waziri wa Maji. Kuna mlolongo wa utaratibu wa usaili mpaka kuthibitishwa na Waziri wa Maji.

..Kwa msingi huo basi anayepaswa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ewura ni Waziri wa Maji, siyo Waziri Mkuu.
Nani amekwambia hawezi kumfuta kazi?waziri wa maji anareport kwa waziri mkuu,yy ndio anaoversee the whole government activities.....so basically akona authority yakutengua
The thing is EWURA ako na interest sehemu nying,from tanesco to energy we use day to day!hawa wakurugenzi wanahudhuria vikao vya bunge almost mara nyingi,maazimio kama ya bunge kuitaka serekali isirenew mkataba wa IPTL wanayajua...mkataba wa tanesco na IPTL uko karibu kuexpire so why taking applications yakurenew licenses while serekali anakesi kibao nyingi akiwa ameshindwa na huyo huyo IPTL na kupashwa kulipa fidia...that was an insult kwa serekali especially waziri mkuu ambaye atawekwa kitimoto bungeni kujibu tuhuma.
Look sera ya umeme ya 2015 iko wazi,serekali inajitoa kunye hawa suppliers waliokuwa wanazalisha na kuuzia tanesco umeme kwa bei ya juu,na kuelekeza nguvu kwenye gesi na makaa ya mawe....Dowans mkataba umevunjwa kwa sababu hiyo hiyo leo unatangaza adharani kutaka kuwapa watu walewale leseni sometimes hawa wakurugenzi wanachosha sana,tommorow I won't be surprised raisi akivunja bodi mpka tunyooke
 
Tatizo la wateuliwa kutotumia akili kubwa kudhani kuwa "sheria " ina ibana EWURA kutoa fair chance kwa IPTL wakati wa kuomba leseni ya biashara baada ya madudu yote yaliyofanywa na IPTL bila kusahau mzimu wa ESCROW.

EWURA wanadai katika kauli-mbiu yao wanaamini katika mambo yafuatayo hapa chini:
  1. Uwazi : kuwa wadau wote (wananchi na waomba leseni), ikiwemo serikali itafahamishwa jambo tata kabla ya tangazo
  2. Uadilifu : itatetea manufaa ya wateja na nchi ktk ujumla wake na ya waomba leseni.
  3. Mwitiko : Kuwa na uharaka wa kujua jambo gani litaathiri nchi
  4. Bidii : Kujifunza kutafuta jawabu muafaka ktk changamoto yoyote
  5. Uwajibikaji : Kujiweka mbele kutetea haki ya wateja wa umeme na kuwabana waomba leseni wote (ikiwemo IPTL) katika kuwajibika kwa madudu yao.
  6. Heshima kwa pande zote : kwa wateja wa umeme na wale wanaotaka kuzalisha
  7. Uaminifu : Kufanya uaminifu kwa wote wapate kilicho stahili yao
  8. Utaalamu : kuonesha weledi katika utendaji kazi kitaalamu
  9. Ubora wa hali ya juu : Maamuzi yao yatakuwa ya ubora wa hali ya juumbele ya macho ya wanaofuatilia maamuzi ya EWURA
  10. Usawa : Usawa kwa wote yaani wateja wanaotozwa kununua umeme,kusambaza na kuzalisha umeme

EWURA VISION:
To champion the delivery of energy and water services through world class regulation for enhancement of the welfare of the Tanzanian society.

Our core values :
  1. Uwazi /Transparency
  2. Uadilifu /Integrity
  3. Mwitiko / Responsiveness
  4. Bidii / Diligence
  5. Uwajibikaji / Accountability
  6. Heshima kwa pande zote /Courtesy
  7. Uaminifu /Honest
  8. Utaalamu /Professionalism
  9. Ubora wa hali ya juu /Excellency
  10. Usawa / Equity
Source: http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2015/04/EWURA-NEWSLETTER-KISW-OCT2012.pdf
Hii serikali ya sasa kabla ya kufanya maamuzi yeyote ambayo yako kisheria kwanza inabidi usome upepo. Sheria si kitu kwa utawala huu.
 
..hii ngoma nadhani haijakaa sawa.

..mkurugenzi amechukuliwa hatua na Waziri Mkuu lakini taarifa inatolewa na Mkurugenzi wa Habari Ikulu.

..kwanini taarifa hiyo haikutolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu?

..Pia Mkurugenzi Mkuu wa Ewura anateuliwa na Waziri wa Maji. Kuna mlolongo wa utaratibu wa usaili mpaka kuthibitishwa na Waziri wa Maji.

..Kwa msingi huo basi anayepaswa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ewura ni Waziri wa Maji, siyo Waziri Mkuu.
Kwa sisi tuliosoma utawala A has power over B , B has power over C but A has power over B & C . kama wewe siyo bashite utanielewa
 
Tujikumbushe utetezi wa EWURA kukaa kikao kazi na kisha kuamua kutoa tangazo kwa umma kuhusu ombi la IPTL kutaka leseni yao iongezewe muda baada ya kukaribia kuisha:

EWURA kuhusu kuongezwa muda wa leseni ya IPT


Source: Millard Ayo
 
Tujikumbushe utetezi wa EWURA kukaa kikao kazi na kisha kuamua kutoa tangazo kwa umma kuhusu ombi la IPTL kutaka leseni yao iongezewe muda baada ya kukaribia kuisha:

EWURA kuhusu kuongezwa muda wa leseni ya IPT


Source: Millard Ayo

Hawa ewura watakuwa wamevuta mpunga kutoka IPTL siyo bure. Wachunguzwe haiwezekani mnajua kabisa hii kitu haitakiwi hata kutangazwa/ kusikika kwenye ofisi za umma mnajitia kimbelembele. Tena nadhani hiyo top management yote waliohusika wanatakiwa kukaa pembeni.
 
Back
Top Bottom