Recent content by ABBY MAGWAI

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba [wasiwasi wa katiba kutungwa bila kuzingatia maono ya wengi]

    Nimekuwa nikipata shida kuamini kama mifumo ya kukusanya maono ya kuunda katiba mpya ya nchi yetu itafuatwa kwa kuhakikisha kila mwananchi anafikiwa. wasiwasi mkubwa ni kwa vipi mwananchi aliye kijijini ata shiriki. je kutakuwa na makongamano ,warsha, au mikutano ya ndani? bado ,napata tatizo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Knowledge of labour laws to tanzania working masses

    The prevailing situation in most Tanzanians private institutions is terrible.No job security at all, the managers don't have managerial skills and in most cases they manage by crisis, and cause uncountable cases of turnovers . lack of knowledge of labour laws is taken as an advantage by most...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Effective grouping ,structure in class settings-kibangu schools.

    A teacher is the designated leader,and the pupil is the follower.Each pupil is expected to perform his or her task and, see that the purpose of the group is achieved,this will let pupils develop sense of belonging to the group and of responsibility.Pupils must learn how to work together ,let...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ufundishaji kwa vikundi, unanyo rahishisha ushirikiswaji -kibangu schools

    Mfumo wa ufundishaji kwa vikundi umekuwa nyenzo muhimu ktk kurithisha maarifa kwa wanafunzi,hasa wale ambao wanajifunza taratibu [ slow learners ]. Tumejaribu hili hapa kibangu na tumeona matokeo mazuri tu. Watoto wasio na viwango sawa vya kufikiri wanaweza kumudu kujiamini na kujishirikisha...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kibangu english medium school

    Mfumo wa kufundisha kwa vikundi unasaidia kuwezesha wanafunzi wenye uwezo tofauti kushirikishana [ association ] ili kuwajengea sense of belonging. -
  6. A

    JamiiForums Tanzania Elimu ya tanzania inalenga kumjengea mwanafunzi uwezo wa kupambana na mazingira yakee ?

    Elimu kwa ujumla ni uwanja mpana wa kufikiri na kutenda.Tunapozungumzia uwezo wa kupambana na mazingira ni ile hali ya kutumia maarifa aliyojifunza kijikwamua na hatimaye kujijengea utu na uwezo katika maisha. Jambo moja la kujuliza ni namna wanafunzi wananyorithishwa maarifa mashuleni ,kweli...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Dhibitini hizi silaha za jadi na sumu zinazouzwa hovyo hadharani

    Limekuwa jambo la kawaida kuona silaha [ zinazoitwa za jadi ] kuuzwa hovyo kila mahali na sumu za kuua panya ambazo zina uwezo vilevile za kuua binaadam.Hivi mamlaka zipi zina ruhusu hali hii , watanzania wengi wana msongo mkubwa wa mawazo unapelekea watu kufyafuka na kuwa na hata mawazo za...
  8. A

    JamiiForums Tanzania For kibangu english medium school[liblary]

    WE HAVE A MODERN LIB FOR THE PUPILS FROM PREPARATORY CLASS 1- TO SEVEN, THE LIB PROVIDES SEVERAL CATALOGS ,DICTIONARIES AND CURRENT BOOKS :eyebrows:. IT ENCOURAGES READING CULTURE TO BOTH TEACHERS AND PUPILS
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kibangu english medium school

    Nilizungumzia umakini wa kiutendaji hapa shuleni kwetu KIBANGU ENGLISH MEDIUM SCHOOL, the form and methods which are applied are child centered , and the concern as it has always been, is to spear head our slogan that we are the world class school. let the child learn is our motto we know that...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu anamwaga cheche ofisi za chadema tawi la saut.

    haki ya elimu uraia ni ya kila mtanzania tuachane na uconservative hakuna atakaye zuia hilo.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Extensive workshop on the power of clubs to studients :kibangu schools

    Of late we had the breakthrough workshop on the application of extra -curriculum requirements to accomplish educational and academic needs .The re known educator Mr Mwageni from the university of Dar had specified very important role that the schools could play in ensuring that clubs in...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kigamboni community lib a place to make a go

    Being the member of this libs,i have learnt that with efforts nothing is impossible. I was talking to the owner of this lib Mr Kalembe, and he pointed out that if the community will wake up and know the meaning of Libs and their contribution to the development of education in our country, they...
  13. A

    JamiiForums Tanzania How can the dater transferer work without virus attacks or other bottlenecks

    When talking to the man, he informed me through HIDS system which in most cases .to mention a few help in assuring that .the situation is not so challenging when it comes to THDST AS THE only depended up on .visit my site and let me share the knowledge
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je kuna umuhimu wa serikali kuchukua hatua kwa waajiri wanaokiuka sheria za kazi nchini?

    Limekuwa ni jambo la makusudi na la aibu kwa waajiri nchini kukiuka kwa makusudi sheria na haki za wafanyakazi nchini. zipo taasisisi nyingi na hasa za binafsi bila kujali utu na miongozo ya sheria za kazi ,zinakandamiza kwa makusudi haki za wafanyakazi. kwa mfano,mfanyakazi anapomaliza mkataba...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Historia ya tanzania hijapotoshwa?

    Kuna mengi mbayo jamii ya leo au sisi tuliopitia shule za kawaida hatujafundishwa juu ya historia ya kweli ya Tanganyika na upatikanaji wa uhuru wa nchi hii.
Back
Top Bottom