Je kuna umuhimu wa serikali kuchukua hatua kwa waajiri wanaokiuka sheria za kazi nchini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna umuhimu wa serikali kuchukua hatua kwa waajiri wanaokiuka sheria za kazi nchini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ABBY MAGWAI, Dec 29, 2011.

 1. A

  ABBY MAGWAI Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Limekuwa ni jambo la makusudi na la aibu kwa waajiri nchini kukiuka kwa makusudi sheria na haki za wafanyakazi nchini.
  zipo taasisisi nyingi na hasa za binafsi bila kujali utu na miongozo ya sheria za kazi ,zinakandamiza kwa makusudi haki za wafanyakazi. kwa mfano,mfanyakazi anapomaliza mkataba au vinginevyo anapotaka kuwa likizo,waajiri wengi hawatoi malipo ya likizo mbali na mshahara, waajiri wengine hawatoi malipo wakati wa likizo ya uzazi na wengine hata huo mshahara wakati wa kumalizia mwaka mfano mwezi desemba hulipwi.hii ni sawa? serikali halioni hili kuwa ni tatizo.
   
 2. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Malipo yapi ya likizo unayomaanisha Mkuu?
   
Loading...