Recent content by ab cd

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mambo ya sabasaba

    Hukuna jipya kwangu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetoa pesa kwenye ATM haikutoka ila salio la awali limepungua

    Iko hvi! Kama ulitoka akaingia mtu mwingne kutoa hela yako itakuwa kwenye account lakn kama ulitoka haraka kabla hata mtu yeyote hajatoa hela kwenye atm husika basi pengne ilitoka badae hali hyo huwa ipo sana
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa mke wa pili raha sana sana, heshima katika ndoa inaongezeka sana

    Oa wa tatu nguvu zako tuu pia wahudumie kwa usawa wote
  4. A

    JamiiForums Tanzania Njoo ujifunze IT professional course

    Njoo mara pia
  5. A

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa Lowassa na Kenyata, huku Magufuli na Odinga wanitia shaka

    Wew naye jipu ulitaka aalikwe nan ???
  6. A

    JamiiForums Tanzania Picha : Serikali mna mpango gani kuwajengea uwezo vijana wabunifu kama hawa..

    Mm nilitengeneza ndege ikatangazwa sana kwenye luninga. Nan aliniona noooo mtu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tablet gani itanifaa?

    Tablet3
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za kuachana na mpenzi wako wa kwanza

    Alinipenda sana Kama uliiachwa pole sana
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mawakili 30 matatani kwa kukiuka maadili

    Law is msumenooo
  10. A

    JamiiForums Tanzania Phone For sale

    Ni simu toka vetnamu aina ya samsung galaxy j7 ni mpya ina 16gb kamera ya nyuma 13 ya mbel 5 bei yake 380000. Risti ipo na box lake lenye ime namba yake imenunuliwa mobile plaza tar.16 june 2016. Niko dar es salam-sinza. Mawasiliano 0626658983.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji nyimbo hizi.

    Njoo in box upate nying na awilo logomba zpo pepe kale zpo
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji nyimbo hizi.

    Nenda library mbona zpo sana tuu unazan ss tutazpata wap
  13. A

    JamiiForums Tanzania Raisi Magufuli Anapingwa Na Makundi Yafuatayo , Usirudi Nyuma.

    Wenzako tuko kanisan cc so tuache tusali na kuabudu jomba
  14. A

    JamiiForums Tanzania Raisi Magufuli Anapingwa Na Makundi Yafuatayo , Usirudi Nyuma.

    Unataka tujadili nn wakat umesema pengne unauhakika fanya kaz mjadala baadae jomba leo juma pili nenda kanisan kaombe/kasali jama yangu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Vodacom kifurushi cha siku Sh. 500,000/= wizi mtupu

    Nenda police katoe malalamiko yako pia mamlaka husika itafikishiwa na kulishughulikia pengne na kweli lakn cc hatujui kwan ulipotaka kujiunga hukutuambia ila tuu umeona tofauti ndo ukatuambia so hatuwez sema chochote na vodacom nawapenda sana tu hawana shida hata
Back
Top Bottom