Raisi Magufuli Anapingwa Na Makundi Yafuatayo , Usirudi Nyuma.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,485
15,582
Wasalaam sana wanajamvi.
Naomba moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja yangu ya leo, ni wazi kua Rais Magufuli amedhamiria kusonga mbele kimaendeleo na hili linadhihirika wazi kwanza kwa juhudi zake anazozifanya kila kukicha, kitu cha kukumbuka wazi kabisa ni makundi hasimu ambayo yamepatwa na maumivu kwa namna moja au nyingine.
Makundi hayo ni kama ifuatavyo.
1. Kundi hili huongozwa na watumishi au ndugu wa watumishi waliotumbuliwa kwao wao Raisi ni mbaya hana jema kwa kila kitu na hapa ni wale watumishi.

2. Kundi la pili ni la wafanyabiashara wakwepa kodi ambao waliweza kunufaika na ukwepaji kodi na ujanja ujanja kwenye biashara hawa hutoa au huwalipa wanasiasa ili tu wakwamishe mambo yasiende mbele.

3. Kundi la tatu ni wale waliopoteza kwenye uchaguzi mkuu uliopita , kundi hili hufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha na kuuaminisha umma kua Raisi hakua mtu sahihi kuliongoza taifa hili.

4. Kundi la nne ni wale ambao wameenguliwa kwenye mfumo , yani wale ambao hawakuweza kurudishwa kwenye nafasi zao wakati Rais anafanya teuzi mbali mbali kwenye nafasi mbali mbali hawa nao humpinga kwa nguvu zote bila aibu wakati hata vigezo hawakutimiza kabisa.

Wito wangu kwa watanzania , tuungane na awamu hii ya tano ili tusonge mbele kama taifa. Karibuni sana.
 
Bavichaaa wangejikita kuhoji ni kwa nini Mbowe aliuza chama chao?

.Kwa nini Leo miaka 20 chadema haina ofisi??
 
Unataka tujadili nn wakat umesema pengne unauhakika fanya kaz mjadala baadae jomba leo juma pili nenda kanisan kaombe/kasali jama yangu
 
Usisahau na wapinzani wapenda madaraka
Naupenda sana upinzani ila cha msingi wabadili system yao pamoja na hoja zao
Kakae katika ukwel
 
Back
Top Bottom