Phone For sale

ab cd

Member
May 28, 2016
94
19
Ni simu toka vetnamu aina ya samsung galaxy j7 ni mpya ina 16gb kamera ya nyuma 13 ya mbel 5 bei yake 380000.

Risti ipo na box lake lenye ime namba yake imenunuliwa mobile plaza tar.16 june 2016. Niko dar es salam-sinza.

Mawasiliano

0626658983.
 
Daaaahh hiyo cmu nilikuwa naitafuta kweli,kama mpaka jnne itakuwepo nitakutafuta mkuu
 
Back
Top Bottom