Picha : Serikali mna mpango gani kuwajengea uwezo vijana wabunifu kama hawa..

mimi naweza.zaidi.ya.hapo..niweze kufanya overall ya injini kubadilisha ring pistons inishinde kuunga ingine..gearbox..differential kitu kitembee..usimtukane mtu kabla ya kumfahamu
Kubadili ring pistons ushakua fundi mtaani kwenu? Ring pistons!!!!!!!!????? Hakuna kitu rahisi kama kufanya overall ya injini mwanangu wa miaka 12 ndo kazi zake wikiend
 
sawa nimewaelewa makurugenzi..Mimi ni fundi mkongwe..nakata gear box..nabadilisha inset..shocknicers...hub sleeve...pressure plate..clutch plate..top shaft..hahaa.....hapo kwenye engine napiga..valve seal...piston rings...piston..connecting rings...grankshafts..cane shafts...hahaaaa
Inaelekea hahaaaaaa ndio kiitikio, basi na mimi namalizia hahaaaaaa
 
@katone ni bluntly mind, hao Wachina wana gari iko kama discover kila kitu, wao wameiita jina free wind unasemaje HAPO
 
mi nikajua katengeneza ndege inapaa kumbe hizi takataka tu ,kwanza ngoja trafik wamkamate sidhani kama hiki chuma chakavu kinachotambaa kimesajiliwa,
Ndio uvumbuzi unakoanzia
 
mimi naweza.zaidi.ya.hapo..niweze kufanya overall ya injini kubadilisha ring pistons inishinde kuunga ingine..gearbox..differential kitu kitembee..usimtukane mtu kabla ya kumfahamu
hapa sasa ndio unajua huyu jamaa ni MTU mjinga kiasi gani
 
Hata hao wazungu wanategemeana ndio maana unakuta samsung made in korea,chip za ndan moja france,nyingine japan kioo, hungary,kepad china nk.hakuna nchi iliyo jikamilisha kwa kila kitu tena waweza kuta baadhi ya resources zinazo tengenza hummer zimetoka tanzania,
Kuwa na desturi ya kupenda uzalendo
Usijali Ntampa BAN ya miaka kumi huku, we ngoja
 
hongera zake jamaa tena hapo utakuta hatA elimu ya chuo hana ameweza kufanyA hcho ktu ,alaf kuna watu wanajfanya mechanical engineers humu wapo tu kudisappoint wenzao wakati hata white walipoanza kuunda hvyo vtu walipeana support za namna mbalimbali mfano kushariana jnc ya kufanya maboresho
 
sawa nimewaelewa makurugenzi..Mimi ni fundi mkongwe..nakata gear box..nabadilisha inset..shocknicers...hub sleeve...pressure plate..clutch plate..top shaft..hahaa.....hapo kwenye engine napiga..valve seal...piston rings...piston..connecting rings...grankshafts..cane shafts...hahaaaa
hivi mkuu nipe mwanga kidogo injini mbili zinaendeshaje differential moja?
 
sawa nimewaelewa makurugenzi..Mimi ni fundi mkongwe..nakata gear box..nabadilisha inset..shocknicers...hub sleeve...pressure plate..clutch plate..top shaft..hahaa.....hapo kwenye engine napiga..valve seal...piston rings...piston..connecting rings...grankshafts..cane shafts...hahaaaa
maneno wote tunaweza,lete kaz tukusifie,la cvyo funga kopo hlo
 
kwanini lazima muitegemee serikali kama nyie wenyewe mnamjali mumfungulie GOFUNDME account muchangie hela aende mbali zaidi.
 
Back
Top Bottom