Njoo ujifunze IT professional course

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
810
713
Habari , Natoa IT professional course (Web design and development - HTML Courses) kwa bei nafuu kwa kuwasaidia wale wanaotaka kujifunza website design and development.
Na kwa wale watakao kata kujifunza (Web design and development - PHP courses) na (Content Management System - Joomla & WordPress).
Bei ni kama zifuatazo

1. Beginners - 30,000/= for 7days
2. Intermediate - 50,000/= for 14days
3.Advanced Level - 70,000/= for 21days
4. Senior Developer - 90,000/= for 30days.

Kwa wakazi wa dodoma tu.
=============== Njoo na laptop yako==========================
Mawasiliano: 0755429928 / 0652247221

Karibuni wote : Creativity Plus Technologies
 
"stephano Mwangajilo, post: 16732390, member: 367253"]Nahitaji kujifunza kutengeneza komputer


Upo wap wewe nichek nikudirect kwa mtu
 
https://jamii.app/JFUserGuide..nipo songea mkuuu kwani wew upo wapp ninahitaj sana ufund computer
 
Mwangajilo, post: 16732794, member: 367253"]https://jamii.app/JFUserGuide..nipo songea mkuuu kwani wew upo wapp ninahitaj sana ufund computer


Dodoma, jamaa
 
Mkoa ambayo watapatkana watu wengi(atleast 50 students ) mi nakuja kuwafundsheni.
 
Naona ndiyo kazi yako kuangalia spelling mistakes JF ila unalipwa usiwe unafanya kazi bure.
Usichukie ni kawaida mbona, na ndio maana uzi ukiletwa tunachangia mawazo na kuchangia ni pamoja na kukosoa,kurekebisha au kujazia na hatuulizani malipo.
 
NJOO DAR HUTAKOSA WANAFUNZI MKUU KWA BEI HIZO ILA USIPANDISHE KISA HUKU NI TANZANIA
 
Unaweza ukaweka baadhi ya kazi zako ulizofanya ili tuone na tuhamasike zaidi Mkuu?
 
Back
Top Bottom