Recent content by A2G

  1. A2G

    Natafuta ufuta mweupe au mweusi

    Mkuu huwezi kupata ufuta kipindi hiki cha Mwaka, ndio upo shambani watu wanafanya palizi saa hizi subiri mwezi wa sita mpaka wa saba ndio mavuno yanaanza. By the way unanunua sh ngapi kilo?
  2. A2G

    Khaligraph X ROSTAM kolabo kali zaidi ya Hiphop Kenya na Tanzania

    Stamina kaniangusha humu aiseee ROMA kakimbiza wote narudia verse yake Mara mbilimbili
  3. A2G

    Gharama za kusafirisha mzigo kwa ndege toka Dar es Salaam hadi Oman

    Hongera mkuu, ishu ya vibali imekaaje? Utaratibu wa vibali kwa huku Bongo na kule Oman ukoje?
  4. A2G

    Ushuhuda kilimo cha miti na hasa mitiki

    Either ame Google Au huko alipoipanda mitiki haikubali maana mtiki wa miaka nane uwe hauna afya hivyo!!
  5. A2G

    Nahitaji Kununua Mpunga

    Huu ndio muda wa kununua gunia kwa bei rahisi Kama hiyo unayosema sababu wengi ya wakulima wana njaa saa hizi baada ya kutumia hela nyingi kwenye palizi, kuhamisha na kupiga dawa ya panzi (msimu huu maeneo ya morogoro vijijini panzi wamekula sana mpunga). Haya maelezo ni kwa uzoefu wangu...
  6. A2G

    Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

    Sasa ukitaka kujua utamu wa maisha ni pale ambapo unaye mpenda wewe naye anajisikia Hivi Hivi ukimpigia [emoji23]. Malipo hapa hapa duniani
  7. A2G

    Rais Magufuli kumteua Naibu DG wa TISS kuwa Katibu Tawala: Jicho la pili...

    Watanzania bwana ni watu wa ajabu sana, tatizo ni nini Kama Chahali na Balali wa twitter wakiwa ni mtu mmoja? Inatuongezea nini Au kutupunguzia nini Kama nchi? Wengine mnasema mzushi sijui hafai, Kwani unahitaji akili kubwa kujua kuwa kuna ishu ndani ya TISS kwa hili la Deputy DG kuwa demoted...
  8. A2G

    Airlines information

    Google mzee zipo site nyingi tu zinazo onyesha flight information Tena zingine ni real time unaona hadi locations za ndege kwa wakati huo
  9. A2G

    Wanaume wa mikoani Mungu awajalie

  10. A2G

    Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Heshima kwenu waku Hivi kuna benki ambayo inaruhusu fixed deposit ya mwezi mmoja ukapata interest?
  11. A2G

    Ushauri wako ni muhimu katika hili

    Nijibu maswali haya kwanza 1. Unataka kulima nini? 2. Una mtu wa kuaminika ambaye atakuwa shamba full time Au nyie ndio mtakuwa mnakaa shamba? 3. Soko la zao lako umesha lijua? Unajua misimu ya hilo zao sokoni? 4. Mzee amekupa sababu zipi za kutokuunga mkono hili wazo lako?
  12. A2G

    Wakopeshaji wa vifaa vya kilimo na ujenzi (EFTA) ni wahuni?

    Uhuni wa EFTA upo kwenye riba, yani unatoa 10%-20% ya mkopo halafu wao wanatoa 80%-90% lakini riba inakuwa calculate kwa kutumia 100% ya mkopo badala ya kutumia Hiyo 80%-90% waliyotoa wao.
  13. A2G

    Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

    Ila Sisi wanaume kiboko, kwahiyo wewe una washangaa hao wadada Ila humshangai huyo Jamaa yenu anaye tembea na wake za watu
  14. A2G

    Nina shamba heka 50 naweza kupata mkopo benki

    Umesha wahi kulima Au ndio Mara ya kwanza? Benki hazitoi mkopo kwa mtu anayeanza, wanatoa kwa mzoefu na inabidi upeleke bank statement yako kuonyesha mapato yako. Hawatoi mkopo kwa ambaye sio mzoefu
Back
Top Bottom