Nina shamba heka 50 naweza kupata mkopo benki

DENLSON

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
944
1,253
Habari yako;

Naomba msaada kwa mwenye ufahamu na jambo hili nina shamba langu heka 50 lina document zote naitaji mkopo wa kilimo Je ni benki gani ina weza nipa mkopo haraka, riba nafuu na kikomo cha ukopaji kwa ukubwa huo ni kiasi gani?

Natanguliza shukrani
 
Umesha wahi kulima Au ndio Mara ya kwanza? Benki hazitoi mkopo kwa mtu anayeanza, wanatoa kwa mzoefu na inabidi upeleke bank statement yako kuonyesha mapato yako. Hawatoi mkopo kwa ambaye sio mzoefu
 
Habari yako;

Naomba msaada kwa mwenye ufahamu na jambo hili nina shamba langu heka 50 lina document zote naitaji mkopo wa kilimo Je ni benki gani ina weza nipa mkopo haraka, riba nafuu na kikomo cha ukopaji kwa ukubwa huo ni kiasi gani?

Natanguliza shukrani
ACB
 
Back
Top Bottom