Usiwadanganye watu kuwa mwanamke akifanya kila siku naniii inalegea,mtu umeolewa mwanaume wako kilafi utafanyaje kama sio kumpa kila siku,na pia ukiwa msafi na kuisafisha vizuri huwa inakaa poa tu,hivyo naomba uelewe ni utunzaji wako tu wa hiyo nanii bwana.
Jamani Belinda umenikuna sana na maelezo yako ni kweli kabisa hakuna mwanamke asiependa kufanyiwa hayo mie mwenyewe mmoja wao Aluuuuuu hapo sawa kabisaaa!!!!!!!!!!
Ni kweli ni taratibu za kanisa ambazo zimepitwa na wakati,biblia inasema anaekutwa na uzinzi wa kwanza ana dhambi na yule wa pili yuko huru,ila kanisa liliweka mambo ya kutengana likitegemea labda ndoa inaweza kusuluhishwa,na katika ndoa tusidanganyane jamani,ugomvi mkubwa ni tendo la...
[COLOR="Red"]Ahsnte sana Caroline Danzi........hakuna atakaeshtaki nchi nzima mie mwenyewe nitakuwa mstari wa mbele kutokupiga KURA!!!!!!!!!!!!!![/COLOR
.........kwa Barafaa ilala na Amerikani chips kinondoni......mmhhhh ni kweli Home sweet home hoooohw nilitaka kusahau Delax kwa Baba Geogre,kongo Chipolopolo ni raha tu..........!
Nadhani mwanamalundi hukumuelewa hapo,nafikiri alimaanisha kukongoroka au kuvutana kwa huo uso kwa maoparation kila wakati,nampa pole sana sbb hata miwani havui wa aibu anayoipata,nadhani atakuwa anajiangalia kwenye kioo na kujiona anavyotisha.
Mbu usitake kunivunja mbavu kwa kunichekesha,sasa hapo anaefanya majaribio nani?ni huyo mume au??jamani......mmmhhh makubwa!? hapo ilitakiwa mke awe mpole mpaka kwenye sita kwa sita,alafu atake mchezo mume akileta kigugumizi ndio angemuuliza kwa upole kama alivyosema Mchola lakini kwa mtindo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.