Nani sio fisadi?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,196
113,481
Ni nani kwenye safu ya uongozi Tanzania asiye fisadi? Maana karibu kila kukicha kuna tuhuma za mafisadi wapya.

Na vipi kuhusu JF? Mafisadi mpo?
 
Mimi ndiyo fisadi mkubwa mkuu.nawafisadi wote waliokuwa kwenye familia yangu na mimi mwenyewe najifisadi,ili niweze kuhumili haya maisha magumu,ili niweze kusomesha watoto,ili niweze kutenga hela za matibabu na mengi.najiibia mwenyewe mlo mmoja ili ni channel pesa zangu sehemu nyingine,ili watoto wasifukuzwe shule.sasa hapa fisadi mkubwa ni nani?jibu unalo mkuu.
 
Viongozi wasiokuwa Mafisadi....
Mizengo Pinda, Sitta, Mama Kilango, Mwakyembe...na
Kikwete ambaye alikuwa lakini sio tena na hajui atatoka vipi!..
 
Viongozi wasiokuwa Mafisadi....
Mizengo Pinda, Sitta, Mama Kilango, Mwakyembe...na
Kikwete ambaye alikuwa lakini sio tena na hajui atatoka vipi!..

Mkandara hujatenda haki kutomtaja mzee wa mikasi Shein, Sitta alinunua dawa za 2 Million kwenye pharmacy ya nduguye ni ufisadi huo!
 
JF Mtandao ni mafisadi wa JF.........

CCM Mtandao ni mafisadi wa Tanzania yetu........
 
Mimi sio fisadi mkuu. Mimi ni safi na sijawahi kuwa fisadi. Nachukia mafisadi na ufisadi wenyewe.
 
Back
Top Bottom