Kuachika kisha ukaolewa na mwingine dhambi?!

Hii sheria ya kanisa inabidi iangaliwe vizuri. Maana watu kuishi kama paka na chui ndani ya nyumba hakuna tendo la ndoa ina maana gani? Mie naona kama mtu hauishi vizuri na mwenzako ni bora kuondoka tu ktk hito ndoa. It doesn't matter kama ndoa ya kanisa au ndoa ya wapi. Mie ndio kabisa ningeondoka zamani kama ndoa haifanyi kazi.
 
Kwenye dini zetu mbili kubwa Tanzania kuna utata mwingi tu lakini ukianza kuhoji utaambiwa unakufuru na kanisa/msikiti unaweza kukutenga. Akili mkichwa, kama unaona mambo ndani ya ndoa yamekushinda ni heri kuingia mitini ukapata dhambi kuliko kuishi maisha ya yaliyojaa shida, karaha na majuto kila siku iendayo kwa mungu ili upate thawabu. Mungu anasamehe viumbe wake, hivyo kama alikuwa anayaona mateso ndani ya ndoa basi hizo dhambi anaweza kuzipunguza.
 
Hizi ndizo baadhi ya taratibu za kanisa ambazo zimepitwa na wakati. Huyu Mtu tuseme ana miaka 25 halafu mwenyewe angependa kuoa au kuolewa tena lakini kanisa haliruhusu hilo. Ina maana aishi for the rest of his/her life bila ndoa!!!! Sasa ni bora afanye uzinzi akiwa ameoa/kuolewa au afanye uzinzi akiwa yuko single!!!? Kanisa linataka tuamini mtu kama huyu ataishi for the rest of his/her life bila kushiriki katika tendo la ndoa!!! Kitu ambacho hakiwezekani kabisa.

Ni kweli ni taratibu za kanisa ambazo zimepitwa na wakati,biblia inasema anaekutwa na uzinzi wa kwanza ana dhambi na yule wa pili yuko huru,ila kanisa liliweka mambo ya kutengana likitegemea labda ndoa inaweza kusuluhishwa,na katika ndoa tusidanganyane jamani,ugomvi mkubwa ni tendo la ndoa,mume/mke mmojawapo akitoka nje na akaonja tamu ya huko ni rahisi kufanya visa hili awe huru,sasa kwanini yule wa pili asipewe nafasi nyingine kwa atakae elewana na kukaa nae vizuri?mie naona hizi sheria za kanisa zingerekebishwa na kuwe na uthibitisho wa kweli si wa kusingizia ili mradi muachane.
 
Sound like “ Nina mume wangu Mchaga, sasa wakati tunakamuana mimi huwa natokwa na maji Mengi sana yaana Na squirt, tatizo la Huyu Mchaga hapendi haya maji, lakini baada ya kuomba ushauri watu wengi wanapendezwa na Hali hiyo na hata wengine wakatamani wachukue nafasi ya huyo huyo Mchaga, katika pita pita yangu nikafahamishwa kuna watu wazee wa Katerero ni Wazuri sana wa kumfanya Mwanamke kuteremsha Maji ya kuweza kuzalisha megawati hata elfu mbili ( 2000 MW) za umeme. Sasa mimi nimechoka na Huyu Mchaga ninataka tuvunje ndoa niolewe na Mume mwingine but tulifunga ndoa na Mchaga wangu kanisani, Naombeni Ushauri jamani”.

Subiri Mama mia utapata ushauri tu

Duh!! Ni mimi mwenye matatizo au macho yangu hayaoni vizuri...... sound like a hidden bifu here!!
 
Sound like “ Nina mume wangu Mchaga, sasa wakati tunakamuana mimi huwa natokwa na maji Mengi sana yaana Na squirt, tatizo la Huyu Mchaga hapendi haya maji, lakini baada ya kuomba ushauri watu wengi wanapendezwa na Hali hiyo na hata wengine wakatamani wachukue nafasi ya huyo huyo Mchaga, katika pita pita yangu nikafahamishwa kuna watu wazee wa Katerero ni Wazuri sana wa kumfanya Mwanamke kuteremsha Maji ya kuweza kuzalisha megawati hata elfu mbili ( 2000 MW) za umeme. Sasa mimi nimechoka na Huyu Mchaga ninataka tuvunje ndoa niolewe na Mume mwingine but tulifunga ndoa na Mchaga wangu kanisani, Naombeni Ushauri jamani”.

Subiri Mama mia utapata ushauri tu


Good thinking! I like it!
 
Kwa sisi wakristo haturuhusiwa kuachana hadi kifo kitutenganishe kwa dini zingine nadhani unaruhusiwa
 
In my eyes huyo jamaa hahitaji msaada because in case like his most people are facing serious strugle to move on.So far anaelekea to the right direction other than kuwa more careful on his selection.You have to understand there is life after divorce and the only thing is kama walijaaliwa watoto ahakikishe anawahudumia kadri ya uwezo wake.Sometime divorce is good in reality example on myself wazee wangu waliachana mimi nikiwa mdogo hata sikumbuki lakini kwa kumjua mzee wangu namshukuru mama yangu to this days kwa kazi aliyofanya kwa kunilea to be a person I am today.Ningeishi na huyu mzee mlevi asiyejali watoto wake na asiyejuwa hata yeye ni muumini wa dini gani,Wow THANK YOU MOM AND ILOVE YOU SO MUCH.

SAHIBA.

Mkuu hii imetulia. Baba hakujua dini kwa hiyo suala hili halimhusu moja kwa moja.

Pia mimi sipingi kupeana talaka. Napinga mtu anayetaka mambo ya talaka na wakati huo awe muumini au mzee wa kanisa. Kanisa lina kanuni zake kwa hiyo kama mtu hawezi kufuata basi halazimishwi. Haiwezekani kanisa liwe na mianya ya kukwepa kanuni. Hata dini nyingine zina mashrti yake ambayo kama unataka kuwa muumini basi uyafuate bila kurekebisha neno. Ndiyo maana kwa watu wa dini kondomu ni BIG NO. Ila sisi uraiani tunasema kuwa wasioweza kuhimili mihemuko yao au maadili hayajatulia basi watumie ili wawe salama. Tusimulazimishe padre/mchungaji asema kama kuna hali hii au ile basi watu wavunje ndoa au shekh aseme ukitaka kubanjua pembeni (nje ya ndoa) basi tumia zana. Huyo tutakuwa tunamlazimisha kujifuta kazi.
 
Quote: Mama Mia
mkuu mkAMA WALIFUNA KANISANI KABISA...MWISHO WAKAENDA MAHAKAMANI WAKAPEWA TALAKA

Basi Kanisa halihesabu kama wametalakiana ila linasema wametengana kwa mda na baada ya given time t ,watarudiana na kuendelea na ndoa yao kama kawaida.

Huyo mwanamke mwingine atahesabika anafanya UZINZI

una uhakika???
BIBLIA IANSEMA UKIMFUMANIA MKEO AMA AKIWA ANA ZIINI NA MWANAUME MWINGINE RUKS UANLIJUA HILO??NI SAWASAWA NA DINI YETU WANASEMA NGURUWE HARAMU LAKINI UKIWA SEHEMU HAMNA CHAKULA RUKSA KULA .....
 
Ningeishi na huyu mzee mlevi asiyejali watoto wake na asiyejuwa hata yeye ni muumini wa dini gani,Wow THANK YOU MOM AND ILOVE YOU SO MUCH.

SAHIBA.

I LOVE HER TOO ...BR ..USIMSAHAU MAISHANI MWAKO
 
Mkuu darkcity maza alitafuta mbadala au aliamua kuwa sis
 
AJWA
Mkuu SAHIBA maza alitafuta mbadala au aliamua kuwa sis
 
Back
Top Bottom