Uso wake Michael Jackson umeshaoza kabisaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uso wake Michael Jackson umeshaoza kabisaa!

Discussion in 'Entertainment' started by Susuviri, Mar 7, 2009.

 1. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Yule mwimbaji na entertainer makini tuliyewahi kujivunia naye kwamba ametuwakilisha watu weusi amefikia mwisho wake si kijamii au kisanii tu bali hata kibinadamu!
  Nimebamba picha zake za Getty images katika press conference alipotangaza kuanza tour yake. Kwa kweli mi namsikitikia because he was one of the greatest entertainers lakini hivi leo amekuwa aibu kwa watu weusi kutokana na kujichubua na kujipiga operesheni nyingi ili afanane na wazungu! Sasa haonekani kama binadamu bali ni mdudu!
  Nawasilisha picha ...
  [​IMG]
  Hii ni close up ya Michael

  [​IMG]
  Tunaweza kuona jinsi anavyojaribu kuficha uso kwa kutumia make up nyingi na wigi kubwa lakini bado anatisha

  [​IMG]
  Rangi yake sasa imeshakuwa 'grey' siyo nyeusi wala nyeupe, how ironc!

  [​IMG]
  Duh, hadi mikono imechubuliwa hivyo?

  [​IMG]
  Na wasiwasi hata ngozi yake itakuwa inatoka sasa na imevutika lakini it looks like a mask....

  [​IMG]
  Amepakaa lipliner?

  Picha zingine zinapatikana hapa
   
 2. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  umeoza wapi? Nimejaribu kutazama hizo picha mara mbili mbili lakini sijaona uozo sehemu yoyote. Au una maanisha uso wake umekongoroka?
   
 3. Companero

  Companero Platinum Member

  #3
  Mar 7, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  "But they told me a man must faithful and walk when not able and fight till but I am only human" - Wacko Jacko (Michael Jackson) in 'Will You Be There'
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Ila kweli uso umebadilika uko kama wa dem tena anayetumia mkorogo mkali!
   
  Last edited: Mar 7, 2009
 5. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Michael's racial inferiority complex has turned him into a coward, he looks ridiculous!!
   
 6. 3

  3 kids Member

  #6
  Mar 8, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani mwanamalundi hukumuelewa hapo,nafikiri alimaanisha kukongoroka au kuvutana kwa huo uso kwa maoparation kila wakati,nampa pole sana sbb hata miwani havui wa aibu anayoipata,nadhani atakuwa anajiangalia kwenye kioo na kujiona anavyotisha.
   
 7. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nyie mnacheza na mnatanga na maisha tu; Michael hajambo na anakula maisha yake nyie MWAJITIA kumuonea huruma! Uso umeoza wakati uko powa tu. Hela anatumia zake. Na hakuna mtu atakudharau kisa Michael jackson- jitafutie heshima yako sio ya kutegemea mgongo wa mtu mwingine, ooohh mara Michael anatushia heshima ooh mara Obama anatupandisha chati! Sana sana Michael "labda" atawakilisha wanugu sio nyie wabongo.
   
 8. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Saikosis: nadhani hujanielewa, mimi ni mshabiki wa Michael Jackson tangu yuko Jackson 5, lakini ukweli ni kwamba amefika mahali pabaya. Na hana mtu wa maana wa kumshauri.
  Unasema Michael anatumia pesa zake.. etc je unafahamu kuwa amefilisika?
  Mnasema uso wake haujaoza? Hebu angalieni kwa makini, chini ya make up mnaweza kuona ngozi yake inatoka, havui miwani kwa sababu ngozi around the eyes imeharibika kabisa na hata yeye amekiri kwamba ana tatizo kubwa sana ya ngozi.
  Mnaweza kuendelea kumtetea na kuwa mashabiki lakini ukweli ni kwamba he is facing a very difficult time.
  Naomba niendelee kuwasilisha picha za ngozi yake (warning - it's definitely not for the faint hearted[​IMG]
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Mar 8, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Aliteuliwa na nani kuwa mwakilishi wetu. Na wewe saa ingine bana sijui hata huwaga unafikiriaga nini? Hebu acha zako hizo. Mimi ni mweusi na hakuwa ananiwakilishi popote na kwa lolote lile. Najiwakilisha mwenyewe.

  Oh well....

  Agreed there....

  Kajiaibisha mwenyewe bana.

  True true....hakuna ubishi hapo.
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Nyani NGABU!!!!
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Mar 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Yes...that's me....
   
 12. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama umewahi kuona picha zake alipokuwa black unaweza kuona uozo na kukongoroka kwake. Siku hizi anasafiri na madaktari wasiopungua watatu, na kila mara anakuwa ma mask karibu.

  Lakini nasikia hivi karibuni aliuliza kuhusu uwezekano wa kuwa black tena, ameona ni aibu kuwatukuza wazungu ambao ameona wengine ni wajinga hata kuliko hata manyani na masokwe.
   
 13. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Chanzo cha Michael Jackson kubadili ngozi sio kuwatukuza wazungu. Ukisoma historia yake- mnamo miaka ya 1980 hivi aligundulika kuwa na magonjwa ya vitiligo na lupus. Vitiligo inasababisha unakuwa na mabaka meupe kwenye ngozi (kama ngozi ya kizungu ama albino). Dawa za vitiligo zinasababisha ngozi kuwa pale/light kama mtu anayejichubua, lakini vile vile kuna watu wanadai aliongezea kwa kujichubua ili ngozi iwe uniformly nyeupe, kwani kuifanya iwe uniformly black haiwezekani. Kwa hiyo circumstances kama hizo ndizo zilizosababisha akawa "white", hata wewe perhaps kama ungepata vitiligo na una pesa ungeweza kufanya hivyo.
   
 14. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Saikosisi mkuu, labda nikuulize, hii habari kuhusu Michael Jackson kuwa na vitiligo uliisikia lini? Miaka ya 80? 90? Hapana! Umeisikia 2000 na kitu baada ya kuona kuwa anapoteza mashabiki. Kama ana Vitiligo angeongea mapema tu!
  Pia unasema hakujichubua kutukuza uzungu sasa operesheni 50 ya pua, mdomo, na paja la uso nayo ni vitiligo?
  Akubali tu kuwa alikosa dira tujue kimoja.
  BTW ugonjwa wa Vitiligo wameugua watu wengine na mara nyingi mwanzoni wanajaribu kupakaa make up nyeusi ili ngozi iwe nyeusi na si kujichubua.
  Mi sitaki kum-judge Michael lakini pia nasema kama ni kweli ugonjwa umesababisha ngozi yake kuwa nyeupe basi asingejipiga operesheni nyingi hivyo kwani ngozi nayo huanza kubomoka haraka!
   
 15. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sasa ngozi ipi ni imara ya Muafrika ya Mzungu? Yupi ambaye anajiona inferior kwa mwenzake Muafrika Mzungu? Someni ISSIS PAPERS cha DR. FRANCES CRESS WELSING. Mzungu ndio always inferior na weak hizo zote cosemtics na nini ni janja yake tu ya kutudanganya watu weusi kuwa yeye ni superior via media propaganda. Michael Jackson amedhihirisha ufisadi wao. Michael alikuwa kipenzi chao till alipokorofishana na Tommy Motola na jamaa inasemekana ni Mafioso kammaliza. Kwisha habari yake.
   
 16. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Nyani, you are right to say that I have made sweeping statements about Michael Jackson representing us, lakini you must admit alikuwa star mkubwa enzi zake na weusi wengi tulijivunia about his success lakini si ye tu bali hata Lionel Richie na All Night Long! Au umesahau, bana?
   
 17. C

  Chap Member

  #17
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  For real it is so bad to see a man is dead while walking
   
 18. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,438
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  Lakini na umri unaenda pia na ngozi inazeeka jamaa keshafika miaka 50 sasa na ngozi haiwezi kuwa kama alivyokuwa na 20. Miaka hamsini ya kibongo si babu kabisa lakini jamaa anastruggle kivyake.
   
 19. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mmh, lakini ukiangalia vizuri area ya pua na macho (kidogo kinaonekana) utaona kuwa hana hata nyama ni ngozi iliyovutika tu, huyu jamaa akivua miwani mi nawaambia mtakimbia!
   
 20. B

  Ball Member

  #20
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaomtetea Mike Jackson ama hawaoni au wana makengeza. Mwenye macho haambiwi tazama. kazi kwenu dada zetu mnaodharau maumbile mliyozaliwa nayo na kukimbilia mkorogo.
   
Loading...