Recent content by 250689

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Nizar uso kwa uso na Man City

    all the best NIZAR tngependa tkuone ukifika mbali zaidi ya hapo ili uwe mfano kwa wabongo wenzako...
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Alunta continua

    habari zenu jamani wana jamii,mimi ni mwana jamii mchanga ..ila wito wangu ni kwa sisi sote kuhakikisha tuna ibua changamoto zitakazo pelekea mabadiliko chanya ktk jamii yetu.
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti halmashauri ya Geita ahamasisha wananchi kuvamia mgodi

    Kweli wabongo wanataka chao...watu wameshachoka na usanii wa viongozi wa nchi wanao ifanya nchi kama mtaji wa matumbo yao,la kushangaza hata hawashtuki....
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Je Barca itaweza kuitoa Madrid uefa..?

    Baada ya gemu ya jana..je Barca bado wana jeuri ya kuitoa Madrid UEFA.?
  5. 2

    JamiiForums Tanzania SAMATTA atua TP Mazembe.

    Ni mwanzo mzuri..akijitahidi atafika mbali kikubwa juhudi tu.,tumwombee mungu.!!
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa ana ushahidi?

    Tulijitokeza kama wananchi wa dom ambao tulialikwa kujitokeza kwa wingi kuhudhuria mdahalo wa kukusanya maoni...mambo yakusema wanfunz wamefanya fujo hizo ni propaganda tu..kuliku na na raia wa kawaida wanafunzi wa mipango,udom,st johns ambo wote kwa ujumla wao ni WANANCHI WA JAMHURI HURU YA...
  7. 2

    JamiiForums Tanzania Tunataka katiba mpya na sio marekebisho ya katiba

    Mchakato tunaotaka kuanza ni wa mabadiliko ya katiba ili kuunda mpya...hili linapaswa kufanyika kwa kui-asses katiba tuliyo nayo ss kipengele kimoja baada ya kingine ili km kunaonekana kuna mapungufu yarekebishwe...ss tutaiitaje katiba mpya wakati tayari kuna mambo yameshaanza kuundiwa mizengwe...
  8. 2

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya Machozi yatumika kuwasambazi wananchi pamoja na Wanafunzi Mjini Dodoma

    kuwafikia mbona yana wafikia sana tu..mambo yamebadilika hata wao wanajua kwamba maoni hayatolewi kwenye midahalo na mkongamano tu hata kupitia mitandao pia watu wanaweza kutoa maoni yao.
  9. 2

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya Machozi yatumika kuwasambazi wananchi pamoja na Wanafunzi Mjini Dodoma

    Kama tatizo ni uwezo wa ukumbi basi hakukua na sababu ya kutumia ukumbi wa msekwa ilhali inafahamika ni mdogo,kwani kulikua na tatizo gani kutumia ukumbi wa chimwaga...au ha ta uwanja wa jamhuri kwani hakukua na la siri lililokua linazungumzwa..ss iweje leo majadiliano hayo yawe kama kitchen...
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Wadau Kuhusu Katiba Mpya Kutoka Dodoma - Live Star TV

    Wametangaza wakazi wote wa dom kujitokeza kutoa maoni yao lkn kinacho endelea ni kwamba watu wamezuiwa kuingi..watu wapo toka saa 2.,ss tunashindwa kuelewa mbona kama kuna usiri ktlk suala hili kwanini kila mtu asipewe nafasi kutoa maoni yake..!?
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Uwakilishi wa wanawake bungeni Tanzania 35% USA 16.6% what is your take from this

    Wengi wao wako bungeni kama mizigo tu, hawajielewi wala hawajitambui, wanjaza viti tu ili ionekane kuna watu lkn kiutendaji wengi wao bado na hata hao wanaojitahidi wengine sidhani km walipaswa kuwepo bungeni labda kwenye kuimba taarabu..mfano so*** Lion
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Cha UDOM na UCHAFU YA MLACHA

    Hivi kumbe kiburi chote ni kwa sababu ya ushemeji..,mbona jk anataka kutuharia nchi na huu uswahiba na undugulization..!?
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Huyu naye katumwa na nani kuchakachua haki za wanavyuo

    Nadhani antafuta pa kutokea coz hanajipya so ameona bora aropokwe ili watu wajue kama yupo..anatia hata huruma...ooh poor ngawaiya ...!!
  14. 2

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Membe: Mchango wa Tanzania kutatua mgogoro wa Libya ni Kupitia African union(A.U)

    Ni aibu kuona viongozi wa africa wanashindwa hat kusimama na kuongelea suala la libya...hivi ni upole ama woga..?
  15. 2

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Membe: Mchango wa Tanzania kutatua mgogoro wa Libya ni Kupitia African union(A.U)

    African leaders are like the toothless barking dog
Back
Top Bottom