Aisee dogo, sisi tunasema kwa nini JK aioni ovu ya Mlacha huko UDOM !!! Kwanza huyo Mlacha imewenekana kwa yeye na JK wemeoa nyumba moja kwa hivyo jK anamfunika uchafu wake which will cost him badly.
Miaka miwili au mitatu iliopita, kuna fumigation imefanyika huko kwenye nyumba za walimu wa UDOM ambae Mlacha amelipia hawa fumigation company million mia moja ambae ni hewa.
Yapili natadharia walimu wote wanao fanyakazi UDOM kuweka barua yao ya uwajiri vizuri na miaka wameingia UDOM kufundisha. Yani huko UDOM, Mlacha anakula sana pesa za walimu huko wengine ajira ina andikwa faki kwa wameajiriwa karibuni wakati wameajiriwa na kwepo miaka mengi. Dhalili zingine ni mchango mengine inaotolewa kwenye mshahara ya hawa wafanyakazi azijulikani zinaenda wapi. Kwa kweli tumechoka na huyo Mlacha kwanza yeye hatakiwi kwepo kwa sababu his profession does not allow him to hold the position he is holding. We want JK to take him out of UDOM. Kama kazi ya undugu amweke ofisini kwake au nyumbani wake. Mlacha is not wanted at UDOM na UDOM sio zake asiendeshe Chuo kama zake. Tunataka Auditing iingilie majira ya wafanyakazi ya UDOM kujua ukweli. Asifunikwe na Mustafa Mkulo.