Tunataka katiba mpya na sio marekebisho ya katiba

250689

Member
Jan 3, 2011
32
4
Mchakato tunaotaka kuanza ni wa mabadiliko ya katiba ili kuunda mpya...hili linapaswa kufanyika kwa kui-asses katiba tuliyo nayo ss kipengele kimoja baada ya kingine ili km kunaonekana kuna mapungufu yarekebishwe...ss tutaiitaje katiba mpya wakati tayari kuna mambo yameshaanza kuundiwa mizengwe yasijadiliwe.?,na ukizingatia ndio mambo ya msingi katika katiba yetu..RAISI,MUUNGANO,BUNGE kutokujadiliwa katika katiba nisawa na kazibure.,na wanao liunga mkono hili km Tambwe Hiza inabidi wapimwe uwezo wao wa akili na kufiri huenda wana matatizo au wapelekwe LOLIONDO KWA BABU..!!
 
Back
Top Bottom