Majibu ya Membe: Mchango wa Tanzania kutatua mgogoro wa Libya ni Kupitia African union(A.U) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majibu ya Membe: Mchango wa Tanzania kutatua mgogoro wa Libya ni Kupitia African union(A.U)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ben Saanane, Apr 6, 2011.

 1. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Membe Kasema mchango wa Tanzania kwa ishu ya Libya ni kupitia Au,na si Tanzania individually

  Kasema bado anasizitiza kwamba Msimamo wa Tanzania na Uganda ni kutaka kuitishwe kikao cha dharura,ofcorse ya Uganda nilisikia na kuisoma.Vipi Matamshi yetu sisi wizara ya mambo ya Nje ilitolea wapi?mwenye tamko hilo jamani naomba aliweke hapa

  Pia,kasema kwamba AU ilishindwa kutoa msimamo au kuchukua hatua kutatua mgogoro wa Libya ati kwa kuwa imposed 'no-fly zone' ilikuwa kikwazo kwao kufika,Mbona Pia hasemi ni kanuni zipi zinazoyabana mataifa wakilishi Africa kwenye UNSC ku-raise voice yao pale ambapo Inatokea Azimio walilolipigia kura linatekelezwa kinyume

  My Take:
  Kimsingi tungekuwa na clear foreign policy ,tayari msimao wa Tanzania ungekuwa umejulikana.Pia nina mashaka na naona haja ya wabunge wetu kujinoa katika kuzifahamu Sera zetu,bado hata wakiuliza maswali wanauliza kishabiki au kimtaa mtaa

  Nchi nyingi za afrika hazitilii maanani sera za mambo ya nje,kwao sera yao kubwa ya mambo ya nje ni kuomba,kusaidiwa na kushukuru period! Mabeberu wanakuwa na nguvu kwetu.Membe kathibitisha hilo,pale aliposema Wakubwa ndiyo waliokuwa kikwazo kwa high level panel ya afrika kufanya kazi

  Tanzania kutoa mchango wake kupitia A.U at the same time hatutoki hadharani kama alivyofanya Museveni na Uganda,ni uthibitisho mwingine kwamba influence yetu kwenye international politics na hata hapa Africa imeshuka sana.

  So, H'nble Membe,The african union's voice does not count, if it did they would have made their presence felt by puting pressure on Nigeria, South Africa and Gabon and forced them to abstain from voting like the BRIC countries did i mean Brazil,Russia,India and China, instead what you had were 3 african nations allowing themselves to be used as pawns in order to get the requisite 9 votes in to pass this resolution.

  It is a known fact that African leaders are selfish and sit-tighters but the rate at which the West in debauching African states to replenish their over-stressed economies is shameless. They are so blatant at the act that they are ready to take-on any government brazenly without shame.

  This is exactly what they did during the slavery trade era -entering into villages using locals, in daylight capturing their able bodies as slaves without blinking an eye. In today's parlance, they only ride on the back of popular uprising to ferment and perpetuate illegalities.

  This is a civil war, you do not take sides, you mediate and if that fails then you send in "peace keeping" troops.

  Don't get me wrong, Iam a strong and staunch advocate of good and responsible government but the rate of western imposition is alarming , Africa and her leaders must watch out and checkmate these gate-crashing .
  So until African leaders start making their countries better places for all their indigenous, they will keep getting this kind of treatment. You gotta keep in mind that the world at large will not stand by and watch America invade a good country with a decent leader. Evil needs a cloak under which to operate, in international politics, the cloak is '
  ROGUE LEADERS' or 'ROGUE COUNTRIES'. Do right by your people and you wouldn't have to worry about that.

   
 2. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ben cant u give a chance Comrade Mbopo to engage in his job? If u guys gonna keep up bringing Membe stuffs here, then the man is not gonna work or add materials in the ministry website? Mwisho wa siku mnaanza tena kumlalamikia wakati kazi ya kujibizana na nyie ndiyo waziri anataka ifanyike kuliko majukumu ya kawaida ya wizara. Muacheni Mbopo apumue kidogo
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Mkuu Dot connector,

  I Salute you comrade! Forums kama hizi ni sehemu ya kuchukua mawazo.The guy had a plenty time tangua awe Naibu waziri,Waziri kamili na lucky enough amekuwa Usalama wa Taifa. Sasa hivi tunamtaka afanye kazi kwa mashinikizo na kutumia nyenzo zote kama hataki kufanya kazi kwa hiyari.Ni aibu kumwona mtu kudakia msimamo wa Museveni kwenye hilo swala,tunauliza home work yake iko wapi?

  Pia anatumia mwanya wabunge walio wengi kutokuwa na uelewa wa kutosha kwenye foreign policy katika kutoa majibu yasiyoridhisha.Majibu aliyotoa si ya kitaaluma sana ukizingatia ni mtu aliyesomea kuanzia BA hadi Masters.Mtu yeyote kutoka mtaani ambaye ni illiterate could give a better analysis than that

  Kwanza ifikie hatua wabunge wambane aeleze Msimamo wa Tanzania kuhusu Watuhumiwa sita wa vurugu(Ocampo six) baada ya uchaguzi wa Kenya kushtakiwa ICC.Makamu wa Rais wa Kenya Kalonzo Stephen Musyoka alifanya diplomatic tour across the continent(Shuttle Diplomacy) kufanya Lobbying kwa African Regimes na hasa Main Body AU iwasapoti kuilazimisha ICC iache wale watuhumiwa wafanyiwe Trials kwenye Local Tribunal

  Je,Tanzania kama sisi ni nini msiammo wetu juu ya Hilo.Sisi ni member wa EAC,na Kenya ni partner State.Sisi pia ni Member wa AU.Pia sisi ni signatories of Rome Statute.Sasa Membe abanwe aeleze,najua kama kawaida hataki kutumia akili nyingi,atasema Msimamo wa AU ndiyo msimamo wetu.Akijibu hivyo,maswali mengine yatafwata
   
 4. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ataanzia wapi kumseam Gaddafi?Tz nzima tutaingia barabarani kuisuta serikali yetu

  Akimsema wamrudishie pesa zake alizozitoa na waka zifisadi kwa wahanga wa mafuriko kule Kilosa na mengine mengi yasiyokuwa hadharani
   
 5. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Kapiga blah blah blah.Kuna swala zima la Sera yetu ya Mambo ya nje anaridhika nayo hivyo hivyo.The guy is just comfortable.Mweh,Eich Tanzania!
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Misikiti aliyojenga Gaddaf hapa Tanzania nani mwenye jeuri ya kumwambia kitu? ila wamesahau huyu huyu mshenzi ndio alimsaidia Idd Amin kuuwa ndugu zetu kwenye vita ya Kagera. majitu yanajifanya kama vipofu kwa misaada ya kujengewa misikiti.
   
 7. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Gadaffi ni brutal,lakini miongoni mwetu tuna watu ambao ni brutal kuliko gadaffi.Waliokomba hazina hawana unafuu katika hili
   
 8. b

  banyimwa Senior Member

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi unasikia raha gani kuanzisha thread ambayo unaendelea kujijibu wewe mwenyewe kama chizi? You busy creating issues where there are none. Fuatilia michango ya Tanzania ndipo utajua msimamo wa Tanzania kuhusu AU.
   
 9. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Mkuu umemsikia Membe alipokuwa anatoa majibu?Umesoma umeelewa?

  Nilijibu hoja ya Saigon,kuhusu Gaddafi kumsaidia Idd amini,Ni wapi nimejijibu au create issues?
  Naona hii thread inakuumiza sana,hata kama una maslahi nayo.Anyway, Let me ignore you
   
 10. 2

  250689 Member

  #10
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  African leaders are like the toothless barking dog
   
 11. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #11
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  What do you expect from these bunch of reactionaries,Angalia hii list ya viongozi wa Afrika

  Moummar Ghaddfi of Libya - 42 years - since 1969
  Mbasago of Equatorial Guinea - 32 years - since 1979
  Jose Santos of Angola - 32 years - since 1979
  Robert Mugabe of Zimbabwe - 31 years - since 1980
  Paul Biya of Cameroon - 29 years - since 1982
  Yoweri Museveni of Uganda - 25 years - since 1986
  Blaise Campore of Burkina Fasso - 24 years since 1987
  Mswati III of Swaziland - 24 years - since April 1986
  Omar Bashir of Sudan - 21 years - since 1989
  Idrissu Deby of Chad - 21 years - since 1990
  Isaias Afewerki of Eritrea - 18 years - since 1993
  Yahya Jammeh of Gambia - 17 years - since 1994
  Meles Zenawi of Ethiopia - 16 years - since 1995
  Pakalitha Mosisili (Lesotho) - 13 years - since 1998;
  Ismail Omar Guelleh of Djibouti - 12 years - since 1999
  Mohammed VI of Morocco - 12 years - since 1999
  Laurent Gbagbo of Ivory Coast - 11 years+ - since 2000
  Abdoulaye Wade (Senegal) - 11 years - since 2000
  Paul Kagame (Rwanda) - 11 years - since 2000
   
 12. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  That man in red is no longer a preseident ila ni gaidi anayeng'ang'ania madaraka!
   
 13. 2

  250689 Member

  #13
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni aibu kuona viongozi wa africa wanashindwa hat kusimama na kuongelea suala la libya...hivi ni upole ama woga..?
   
 14. N

  Nonda JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Hawa ndugu zetu ni ndugu wa damu?Ha.. haaaa!
  Watu wengine bwana....wanazungumza kama vile wamestuka kutoka usingizini.
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Inawezekana wewe ni Mtusi au msomali kwahiyo siwezi kukushangaa.
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  You got it PERFECTLY RIGHT. Naomba pia wasomaji waelewe kuwa pamoja na mambo mengine sera zetu za mambo ya nje ni kutembeza bakuli ambalo haliendi hivi hivi.

  Marekani na Millenium Challenge Accounts in exchange of sovernity
  Japan mabarabara in exchange of used cars dumping place
  etc etc

  Ni rahisi tu wakubwa kumwambia JK, MCA itasimamishwa au fedha za barabara X hazitatolewa ikiwa nchi itakuwa na msimamo mkali kuhusu "UVAMIZI WA" LIBYA.

  Lakini kwa ushahidi uliopo ni kuwa tumepoteza mwelekeo na msimamamo wa sera zetu za mambo ya nje kwa sababu tumepoteza uwezo (capacity) wa kusimamia maslahi ya wananchi wetu kwa maslahi ya wakubwa na kuokoteza makombo kwa viongozi wetu.
   
 17. N

  Nonda JF-Expert Member

  #17
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280

  I am impressed!
   
 18. G

  GJ Mwanakatwe JF-Expert Member

  #18
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NATO ni akina nani mpaka waizuie AU? Jurisdiction ya NATO ni nchi za magharibi, US na Canada, libya ni sehemu ya kujidai ya AU, sasa kwa kuwa AU kazi yao kupiga soga tu wameshindwa wafanye nini kwa kuwa hawana DOCTRINE yoyote. Ghadafi kweli kakaa madarakani muda mrefu, lakini hiyo sio hoja kwa sasa, hoja ni kwanini NATO inawasaidia waasi? jibu ni kwamba shida yao wajipatie mafuta ya bure toka libya kwa kuwa chini ya ghdafi walishindwa, aliwadhibiti. Gadafi ndio kiongozi pekee wa afrika aliyehakikisha resourse za libya( mafuta) yanatumika kwa manufaa ya walibya, sio kama sisi tz resources nyingi nchini lakini hazina faida zinanufaisha mataifa ya magharibi huku sisi tukibaki maskini kupindukia. BORA YA UDIKTETA WA GADAFI AMBAO WALIBYA WANANUFAIKA NA MAFUTA YAO KULIKO DEMOKRASIA YETU INAYOTULETEA UMASKINI WAKATI TUNA RESOURCES ZA KILA AINA.
   
 19. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #19
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu.maneno ya busara haya.

  Kitendo cha Membe kurukia msimamo wa Uganda kinathibitisha hili.Kwenye International Politics kuna kitu kinaitwa Balancing Of Power.A state may decide to engage in Balancing of power behaviour or Bandwagoning behaviour

  A balance of power exists when there is parity or stability between competing forces.Bandwagoning refers to the act of weaker states joining a stronger power or coalition within Balance of power politics.Ina maana hata hapa Africa mashariki,nafasi ya Tanzania katika kuwa frontline kwenye Mambo ya kimataifa kamuachia Museveni na Uganda.Inaonekana Waziri wa mambo ya nje wa Uganda Hon'ble Sam kutesa anajua ni role gani ya ku-play na kuhakikisha wanatekeleza mkakati wao wa kusafisha njia kwa Museveni kuiwakilisha East africa,and possibly Rais wa Kwanza wa Shirikisho.

  Bandwagoning ni mbaya kwa kuwa inakuza uwezo wa Rival state katika Power.
  Tanzania,Kenya na Uganda ni nchi ambazo zinatafuta influence EAC. Bandwagoning may clear the way for Super powers or Heavy weight Economies to impose Containment Policy(Sera ya mambo ya nje ya Marekani kwa kutumia Jeshi,Uchumi wake kwa kutoa misaada kama hiyo ya Millenium Challenge,au Shirika lao la misaada USAID ,pamoja na Diplomatic mission ili kupambana na sera Pinzani kama Ujamaa,Ukomunisti na au wapinzani wa sera zake nje ya Marekani).Sera hii inakuwa na lengo la kupunguza au kuzuia mataifa yenye sera kinzani kuambukiza kwa majirani zake(Domino effect)

  Kama ulivyosema shirika la Misaada la Japan International Cooperation Agency(
  JICA) pamoja na la Marekani The United States Agency for International development(USAID) yote yana malengo na mwelekeo wa kibeberu(Imperilist ambitions),Membe analijua hili kabisa.Ni jukumu letu sisi kama Taifa kuweka msingi mzuri kwenye uchumi wetu na maisha ya watu wetu ili tuwe na sera independent.Nchi za BRIC kwa umoja wao zinaitisha America na mataifa ya Ulaya.China inachukiwa na Mataifa hayo,na sasautaona India na Brazil zitaingia kwenye List hiyo.Lula Da Silva,ni role model wangu katika hili la kukuza uchumi kwa kulenga middle class and lower Class.

  Kwa hiyo ninaamini kabisa tukiwa na dhamira ya dhati au hadi pale tutakapojua uhusiano uliopo kati ya Millitary strength,Economic power na foreign Policy ndipo tutakapokuwa na Sauti,na utu wetu kuheshimika Duniani.Kwa sasa inaonekana Damu ya Raia wa America ni ya gharama kuliko Damu ya Mtanzania au nchi nyingine ya Dunia ya Tatu.Tanzania tunaweza kabisa,we need a great leader who can inspire followers at his and their capacity to initiate and take a radical step forward
   
 20. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #20
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu.maneno ya busara haya.

  Kitendo cha Membe kurukia msimamo wa Uganda kinathibitisha hili.Kwenye International Politics kuna kitu kinaitwa Balancing Of Power.A state may decide to engage in Balancing of power behaviour or Bandwagoning behaviour
  A balance of power exists when there is parity or stability between competing forces.Bandwagoning refers to the act of weaker states joining a stronger power or coalition within Balance of power politics.Ina maana hata hapa Africa mashariki,nafasi ya Tanzania katika kuwa frontline kwenye Mambo ya kimataifa kamuachia Museveni na Uganda.Inaonekana Waziri wa mambo ya nje wa Uganda Hon'ble Sam kutesa anajua ni role gani ya ku-play na kuhakikisha wanatekeleza mkakati wao wa kusafisha njia kwa Museveni kuiwakilisha East africa,and possibly Rais wa Kwanza wa Shirikisho.

  Bandwagoning ni mbaya kwa kuwa inakuza uwezo wa Rival state katika Power.Tanzania,Kenya na Uganda ni nchi ambazo zinatafuta influence EAC. Bandwagoning may clear the way for Super powers or Heavy weight Economies to impose Containment Policy(Sera ya mambo ya nje ya Marekani kwa kutumia Jeshi,Uchumi wake kwa kutoa misaada kama hiyo ya Millenium Challenge,au Shirika lao la misaada USAID ,pamoja na Diplomatic mission ili kupambana na sera Pinzani kama Ujamaa,Ukomunisti na au wapinzani wa sera zake nje ya Marekani).Sera hii inakuwa na lengo la kupunguza au kuzuia mataifa yenye sera kinzani kuambukiza kwa majirani zake(Domino effect)

  Kama ulivyosema shirika la Misaada la Japan International Cooperation Agency(JICA) pamoja na la Marekani The United States Agency for International development(USAID) yote yana malengo na mwelekeo wa kibeberu(Imperilist ambitions),Membe analijua hili kabisa.Ni jukumu letu sisi kama Taifa kuweka msingi mzuri kwenye uchumi wetu na maisha ya watu wetu ili tuwe na sera independent.Nchi za BRIC kwa umoja wao zinaitisha America na mataifa ya Ulaya.China inachukiwa na Mataifa hayo,na sasautaona India na Brazil zitaingia kwenye List hiyo.Lula Da Silva,ni role model wangu katika hili la kukuza uchumi kwa kulenga middle class and lower Class.

  Kwa hiyo ninaamini kabisa tukiwa na dhamira ya dhati au hadi pale tutakapojua uhusiano uliopo kati ya Millitary strength,Economic power na foreign Policy ndipo tutakapokuwa na Sauti,na utu wetu kuheshimika Duniani.Kwa sasa inaonekana Damu ya Raia wa America ni ya gharama kuliko Damu ya Mtanzania au nchi nyingine ya Dunia ya Tatu.Tanzania tunaweza kabisa,we need a great leader who can inspire followers at his and their capacity to initiate and take a radical step forward
   
Loading...