Recent content by 22nd

  1. 22nd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifanyi ngono tena 2016 kumridhisha mtu, nikiridhika mwenyewe imetosha

    Mapenzi ni kuridhiana, ukiridhika na mtu na kweli moyo ukamhusudu, hata awe na kibamia, utamuona kama ronaldo vile akiwa uwanjani. Ila zaidi yapo, hata awe na mguu wa mtoto, lazima utafute pa kupoozea moyo wako. Wengi wenu mnafanya wrong choice, ndio hayo yanawakuta
  2. 22nd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa, unyumba sipati kwa mke wangu

    Acheni upotoshaji kwa kitu msichokifahamu, huo ni ugonjwa, unawatokea sana wakina mama wengi,especially baada ya kupata watoto au mtoto, tendo la ndoa kwao linakuwa halipo kabisa, kuna so many reasons zinazosababishwa na huo ugonjwa, of course ukienda tu hospital za kawaida watakwambia hana...
  3. 22nd

    JamiiForums Tanzania Nillikuwa gizani: Kumbe watuhumiwa wote wa ESCROW wameteuliwa kugombea Ubunge?

    Acheni unafiki, mpaka mnaboa kwa kweli, mtu akiwa ccm fisadi, akienda ukawa msafi(alisingiziwa), huyo huyo chenge au tibaijuka angehamia ukawa angekuwa msafi. I hate siasa, mijitu miongooooooo, inadanganya na kudanganywa mchana kweupe, thats why i take siasa as a game (I bet and get cash at...
  4. 22nd

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Kuigiza: Kajala amiliki simu aina samsung galaxy note 4 ambayo bado haijatoka sokoni

    Thank you very much, umeongea la maana, kwasababu nakerwa kweli na watu wa namna hii wanaojidai wanataka habari za maana ila najiuliza wanafuata nini kwenye jukwaa hili la ma celebrity?? Wanajiona akili na ni bora kuliko wenzao wakati wao ndio wajinga, huwezi kwenda kwenye strip club...
  5. 22nd

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    I'm not ccm wala ukawa, ila nawaambia kwamba Mnajidanganya na poll zenu, kwasababu wapiga kura wengi ni wale lala hoi ambao hawajui kesho watakula nini, hajui hata hiyo poll ni nini na inapigiwa wapi, so why waste a time , tusubirie tu hiyo october. Unless kama mnafanya hivyo kwa kujifurahisha...
  6. 22nd

    JamiiForums Tanzania Iphone3g for sale

    used iphone3g for sale, a small fracture on sim card lid, bei laki 1 na 80.
  7. 22nd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya dalili ya mwanaume aliyetoka kubakwa (mwenye tabia za kike)

    Ukiona huelewi ujue ni dalili za uzee, nakumbuka enzi zile tulipokuwa wadogo, neno mambo na poa lilikuwa linapigwa marufuku, leo hii ndio salamu kwa wadogo na wakubwa. neno bongo lilipigwa marufuku, sasahivi kila mtu anakubaliana nalo, kwahiyo ipo siku tu mtakubali hiyo xaxa. ila inakera...
  8. 22nd

    JamiiForums Tanzania Hasheem aambiwa stop taking pictures on the damn beach and get in a gym

    Yaani unajua kupaka kinyesi, sijategemea kucheka hivi
  9. 22nd

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam in 2060

    kutoka kinondoni mpaka posta mi si nitapotea? nitaishia kuzunguka wee kwenye hizo barabara, bora njia zetu zile zile mbili zinatosha.
  10. 22nd

    JamiiForums Tanzania Ray J atishia kuanika picha za ngono alizopiga na Hayati Whitney Houston

    mziki unawenyewe
  11. 22nd

    JamiiForums Tanzania Dirisha la hoteli aliyolala Mheshimiwa Malima lina majibu yote...

    huyu ndio waziri wenu? speechless.
  12. 22nd

    JamiiForums Tanzania Website Development Company

    walengwa ni wazungu na nchi zinazoongea kiingereza?
  13. 22nd

    JamiiForums Tanzania AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

    ninavyojua mimi ni kwamba ukiwa raia wa kigeni unalipia dola 100 pale airport bila maswali au longolongo, au hii kuomba visa imeanza jana?
  14. 22nd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    mi haujanitolea mahari, hunitoi kwetu, hata kukopwa sitaki
  15. 22nd

    JamiiForums Tanzania Unforgettable death events...!

    chacha wangwe ndio nani? i mean alikuwa nani?
Back
Top Bottom