Dar es salaam in 2060

Hii mbona baada ya miaka miwili tu? ma flyover yameshasainiwa kujengwa juzi tu. Umeme kwa wingi, Kikwete ndio yupo Brazil kuharakisha mchapuo.

Sioni kingine cha maana ambacho inabidi tungoje mpaka 2060.
 
I ndivyo jiji la dar es salaam itakavyokuwa mwaka 2060.

once upon a time (when the boyz 2 men were heading for the grand magogoni house), a picture like this was being posted to portray how things would pan out come 2015 under the "maisha bora kwa kila m-tz" banner!

am sitting here....anxiously waiting.
 
I ndivyo jiji la dar es salaam itakavyokuwa mwaka 2060.

nyoooooooo!!!! Thubutu yenu
na msahau kabisa
ushaur labda muanze kuchmba mafuta kwa visma vyenu na madin mchmbe wenyewe arafu wazungu wanunu mafuta na tznite kwa TSH!
 
kutoka kinondoni mpaka posta mi si nitapotea? nitaishia kuzunguka wee kwenye hizo barabara, bora njia zetu zile zile mbili zinatosha.
 
Mungu nibariki kuishi miaka mingi niwe shuhuda wa haya maajabu ya dunia..:shock:
 
Pombe John Magufuli keshajipanga flying over must 2017 CCM ikipita
 
Labda 3060 Mungu akitupa uhai

Back
Top Bottom