Dirisha la hoteli aliyolala Mheshimiwa Malima lina majibu yote...

Hiyo $400,000 mwandishi wa ITV kachemka, Malima hajalizwa dola laki nne! Mwandishi maskini hajui hata $400,000 ina thamani gani... kajiongelea tu... haahahahahaha

Anyhow, waziri anakera ile mbaya japo nimebaki nacheka tu. Lakini assuming ni kweli Tanzania kuna airport kila sehemu na anaweza kuondoka kutokea pori lolote (kasema anatembea maporini usiku) ina maana kwamba hawa mawaziri wetu huwa wanaanzia safari za kwenda mikutano kutokea maporini, hawana maandalizi, hawana agenda, hawana nyaraka, unless anatembea na file cabinet zima la wizara, yani akitumwa nje kwa swala lolote popote alipo yuko gado na makaratasi ya kila topic! You know.... Hahahahaha...So ridiculous.

Huyo Malima ni muongo "***** zake yaani anatufanya watu wote wajinga.
 
Ilikuwa $400,000 au $4,000? Nimeona mahali imeandikwa $4,000 na sasa kwenye hii ripoti inasema $400,000 which means hiyo total huyo huyo reporter anayosema ya zaidi ya milioni 23 TShs haziendani.

pesa alizoibiwa waziri ni more than usd 4'000......na madini na Vito......

Alibeba silahaa ya ziada ..AK47 kutokana na Uzito wa mali alizobeba....katika Hali ya kawaida mawaziri wengi wakiwa safarini huwa na pistol 9mm mbili moja huwa nazo wenyewe na nyinginke madereva wao ambao wengi hupatiwa kozi fupi na TiSS.....kitengo cha PSU ....kimsingi madereva wa mawaziri wawapo safarini pia ni walinzi wao.....
Kuna baadhi ya mawaziri wanakuwa na ulinzi zaidi kutokana na unyeti wa wizara Zao au Taarifa za matishioo zilizopo

Hadi wakati tukio hili linatokeaa hapakuwa na tishio lolote dhidi ya Adam Malima..kuhalalisha kutembea na silaha zote hizo....
 
Tuwe wakweli na wawazi jamaa hajaibiwa na mtu mgeni bali ni malaya wake tu, atulie atavikuta hukohuko kwa nyumbandogo yake
Bora ingekuwa nyumba ndogo, inaoneka naibu waziri alikomba mcharuko tu. Nyumba ndongo asinge utangazia umma angemfuata kimya kimya na mabundiki yake akarudishiwa mipesa yake.
 
mwizi aingie mlangoni baada ya kuiba avunje dirisha ili apite

waziri anatimia bastola mbili kama chuck noris.

waziri anatumia lap top tatu huyu anastahili kupewa tuzo na mmiliki wa dell.

blacya milioni tano du lakini hata ghadafi alikuwa na bastola ya dhahabu.

dola 4000? atakuwa alitaka kuagiza noah.

kama huijui tanzania endelea kuichagua ccm.
 
Sasa nyie mlitaka mwizi ashuke ngazi anaburuza mabegi? Mwizi anaweza kupitia mlangoni akatokea dirishani. Kwenye investigation lazima u keep an open mind.
Unchotaka kusema ni kwamba huyo mwizi alikuwepo chumbani then baada ya kuiba ndo akabomoa Dirisha??kama aliingia kupitia dirishani bila kulivunja, iweje wakati anatoka ndio aamue kuvunja???Hizo kelele za kuvunjwa dirisha ilikuwaje wahusika wasizisikie??
 
Hapa Watu wenye ufahamu wao wanajua Malima alikuwa na Fedha nyingi sana.
Hizi US Dollar 4000 na Maparachichi 1.5 ni Magirini tu. Amevuna huko machimboni Mbeya,
Pia alikuwa na kokoto nyingi tu kwenye Mabegi.

tutayasikia tu.
 
Atakuwa na bahati kama hajamuachia UKIMWI, kwani inaelekea Malima is so lose sidhani kama anaweza kumbuka hata kufanya ngono SALAMA.

Eti akiuwa sebuleni akabiandika report ya Wizara! Halafu kitendea kazi (laptop) cha kuandikia report hiyo kiibiwe?

Ingekuwa ni wenzetu wazungu POLISI angepandishwa cheo kwa kun UNCOVER huu uongo wa Malima. Lakini nchi hii ya Wadanganyika Polisi watapindishwa vyeo kwa ku-COVER huu uongo wa Malima.

Naibu waziri anayelindwa na Polisi still bado anatembea na pistol na SMG? Halafu majukwaani anaimba Tanzania ni kisiwa cha amani. It is the ONLY MADNESS who can still trust and vote for CCM.
 
Mnapojadili fabrication iliyotumika kuhusu suala la dirisha la hotel msisahau pia kujadili suala kubwa zaidi la msingi la kujifunza kuhusu jinsi uchunguzi wa polisi unavyofanyika kuhusu hili swala la huyu naibu waziri waziri........Kwa taarifa zilizopo ni kwamba polisi wame reki mji mzima wa morogoro kwa msako mkali kupita maelezo.....na baadhi ya vitu kama begi moja limepatikana na pia laptop moja imepatikana mikumi......yaani polisi wanafanya kazi kufa na kupona kumsaidia naibu waziri aliyeibiwa wakati akifanya starehe na malaya........

My very sad take on the issue:
  • Yaani ebu oneni jinsi hii serikali ilivyo na double standards kwenye jinsi inavyoshughulikia mambo yake.....leo hii polisi wanahaha usiku na mchana kutafuta wezi na vitu vya naibu waziri aliyeibiwa wakati anafanya umalaya.......wakati huo polisi hawa hawa wa serikali hii hii wamekuwa wanamdhihaki na hata kukataa kuchukua hatua mara moja pale ambapo naibu waziri mwingine wa serikali hii hii(Dr.Mwakyembe) alipodhuriwa na hata kutaka kuuliwa na kile kinachoonekana kupewa sumu.....hata mara hii yuko kwenye matibabu india......tena kinachouma yeye alilamika mara chungu mzima kwa polisi hawa hawa wa serikali hii hii.........leo waziri malaya kaibiwa hoteli(tena bila kudhuriwa)..polisi wanahaha usiku na mchana kutafuta wahujumu....iko wapi haki hapa sasa......hizi dhambi hizi hakika zitalipeleka pabaya hili taifa.......
 
Haki itapatikana 2015 Magamba watakapong'oka.
 
Huyu malima mpumbavu kweli, eti anasema anatembea na pesa kwa ajili ya safari za ghafla ikiwa bwana mgao wa umeme (ngeleja) hawezi kusafiiri anaambiwa yeye asafiri, eti hawezi kupewa muda wa safari basi hapo alipo au mahali popote alipo anasafiri mda wowote kana kwamba tanzania ina viwanja wa ndege kila sehemu, Ina maana Huyu ******** Malima anasafiri na Ndege yake mwenyewe? au ndege huwa zinamfuata hapo alipo? $400,000 ni nyingi mno kutembea nazo mtu kama Malima tena ni waziri. Sasa tujiulizeni ikiwa Naibu wa Waziri anatembea na hizo pesa je mawaziri wengine na kiasi gani kwenye Magari yao?

Comrade swali jingine kama naibu waziri ameweza kutembea na SMG ni dhahili basi waziri ruksa kutembea na mzinga wa masafa mafupi na waziri mkubwa yeye atabeba mzinga wa masafa ya kat ili presdaa abebe jet fighter na ile ya masafa marefu huku ndiko kuilinda AMANI tuliyoachiawa na waasisi wa Taifa hili?
 
Like father like son....................hiyo ni T anzania tu imagine ni fedha kiasi gani zinafujwa viongozi wetu wanapokua nje ya nchi? Tafakari chukua hatua....
 
Hivi kuna mtu anayevua Pete akifika Hotelini?how heavy is a ring?This minister is beyond stupid to assume people will take this type of bullshit explanation..,
 
huyo malima mwongo sana na mtoa na mpokea rushwa mnzuri tu,uchaguzi wake kuwa mbunge nako fedha kahonga sana jaribu ulizia jimboni kwake.alipewa apigo manzuri na aliyekuwa then kalewa uroda jamaa wakamfaidi nakumwambia karibu moro,aache kupiga kelele kakaribishwa mjini morogoro au kiswahili cha zito kabwe kaingia choo cha kike.hajaibiwa wa-tz wamerudisha jasho lao tena ningemfahamu alotenda hayo ningemwabia aendelee kurudi jasho la anyonge.mdumu mlotenda hayo na mwingine yupo kwenye uchaguzi a.mashariki mwigulu nae mkachukue jasho la wanyonge analofuja.
 
huyo malima mwongo sana na mtoa na mpokea rushwa mnzuri tu,uchaguzi wake kuwa mbunge nako fedha kahonga sana jaribu ulizia jimboni kwake.alipewa mapigo manzuri na aliyekuwa then kalewa uroda jamaa wakamfaidi nakumwambia karibu moro,aache kupiga kelele kakaribishwa mjini morogoro au kiswahili cha zito kabwe kaingia choo cha kike.hajaibiwa wa-tz wamerudisha jasho lao tena ningemfahamu alotenda hayo ningemwabia aendelee kurudi jasho la anyonge.mdumu mlotenda hayo na mwingine yupo kwenye uchaguzi a.mashariki mwigulu nae mkachukue jasho la wanyonge analofuja.
 
Back
Top Bottom