UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
LOWASSA AONGOZA KURA ZA URAIS.

Shirika la New Deal Africa kupitia mtandao wake wa Easypolls.com wanaendesha utafiti (opinion poll) kwa wagombea Urais nchini Tanzania waliojitokeza hadi sasa ambao ni Edward Lowassa wa (CHADEMA /UKAWA) na John Magufuli (CCM).

Hadi leo asubuhi matokeo ya mtandao huo yanaonesha kuwa uchaguzi ungefanyika leo Lowassa angeshinda kwa 64%, na Magufuli angefuatia kwa 31%, huku 5% ya wapiga kura wakiwa hawajaamua wampigie nani kati ya Lowassa na Magufuli.

Bila shaka hawa ni wale wanaosubiri wagombea wa vyama vingine wajitokeze. Kwa maana hiyo ni kwamba wagombea watakaojitokeza kupitia ACT, TADEA, CHAUSTA, na vyama vingine watagawana 05% ya hao "undecided".
 
I'm not ccm wala ukawa, ila nawaambia kwamba Mnajidanganya na poll zenu, kwasababu wapiga kura wengi ni wale lala hoi ambao hawajui kesho watakula nini, hajui hata hiyo poll ni nini na inapigiwa wapi, so why waste a time , tusubirie tu hiyo october. Unless kama mnafanya hivyo kwa kujifurahisha na kufanya muda uende fasta.

Wenzenu ulaya wanafanya hizo poll kwasababu kila mtu yupo ki digital, kuanzia watoto mpaka watu wazima.
 
Sisi ndio wapiga kura na bado hatujapiga kura ..Tz ni yetu na si hao makanjanja, na tunaomba wakae mbali na siasa zetu kwasababu uchaguzi ndo maisha yetu na hatuchagui watu kwa tafiti bali kwa kupiga kura siku yenyewe ya kupiga kura ..only that!
 
New Deal Africa! Mashirika uchwara haya yanahongwa mamilioni ya uongo wapotoshe haiwezekani gap ikawa kubwa hvyo
 
Ngoja REDET waje, watakachofanya ni kupindua tu haya matokeo halafu TUME itafuata majibu ya kupika ya REDET kama ilivyokuwa 2010.
 
Kura hizo zimepigwa na vijana wahuni kupitia simu za mkonani na wengi wao hawana kadi za mpiga kura.
 
New Deal Africa! Mashirika uchwara haya yanahongwa mamilioni ya uongo wapotoshe haiwezekani gap ikawa kubwa hvyo

Tulia basi uone gap halisi October 25 if all factors remain constant yaani Kama goli la mkono litazuiwa au Kama UKAWA watacheza Na goal posts.
Na bado
 
lowassa ushindi ni lazima.Hizo ni ndogo sana Lowassa atapata over eighty percent
 
Lowassa kaanza kampeni za kuwa Rais tangu 1995 Magufuli kaanza harakati June 2015, Tulieni Baada ya Miezi Mitatu hapo October muanze kusikia Ngonjera kama za 2010 kupitia Tanzania Daima, IPP Media, Habari Corporation za kuibiwa kura.Lowassa bado anakula faida ya kujulikana mapema na Umaarufu sio kukubalika, Hata mie nikisikia yupo maeneo ya jirani nitaenda kushuhudia kiongozi wa Genge la wahuni Mtaka Urais
 
dawa ni mabadiliko tu ifikapo mwaka 2090 bado ccm itaendelea kutuahidi barabara,umeme na maji foolishness!!!!!!!!!

ukawa ndo habari ya mjini!!!!lowasa lazima ikulu!!!

lowasa ni raisi
 
LOWASSA AONGOZA KURA ZA URAIS.

Shirika la New Deal Africa kupitia mtandao wake wa Easypolls.com wanaendesha utafiti (opinion poll) kwa wagombea Urais nchini Tanzania waliojitokeza hadi sasa ambao ni Edward Lowassa wa (CHADEMA /UKAWA) na John Magufuli (CCM).

Hadi leo asubuhi matokeo ya mtandao huo yanaonesha kuwa uchaguzi ungefanyika leo Lowassa angeshinda kwa 64%, na Magufuli angefuatia kwa 31%, huku 5% ya wapiga kura wakiwa hawajaamua wampigie nani kati ya Lowassa na Magufuli.

Bila shaka hawa ni wale wanaosubiri wagombea wa vyama vingine wajitokeze. Kwa maana hiyo ni kwamba wagombea watakaojitokeza kupitia ACT, TADEA, CHAUSTA, na vyama vingine watagawana 05% ya hao "undecided".

Tupatie link ya huo mtandao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom