Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za Jion WanaJF Naomba kuuliza mtu yoyote ambae anajua machimbo pale Kariakoo au sehemu nyingine Dar ambapo naweza pata laptop kwa bei nafuu new au refurbished. Msaada tutani wandungu
3 Reactions
13 Replies
4K Views
RAUM OLD MODEL BEI:MILIONI 3.8 ENGINE:5A,1490CC MWAKA-2000 FUEL-PETROL. GEAR-AUTO. FULL AC. FULL DOCUMENTS. LOCATION-CHANG'OMBE VETA-DAR NB:MIMI NDIYO MMILIKI WA GARI
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Habarin wana jamii forum naomben kujua ni wapi naw3za pata huduma ya kutrack gar au bajaj yangu kwa kufunga mitambo ktk bajaj na kuweka app kwenye simu yangu ili niweze kutrack chombo hicho...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Inafanya kazi zote 3 print scan copy Matumizi mazuri ya wino print page 15000 Inatumia wino 4 vitenki vya nje na ni rahisi kujaza unapoisha. Printer imetumika muda mfupi miezi 3 haikufanyia...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Disel generator kipor 13kw 6m free delivery in dar gerenator iko kawe +255 744 783 947
1 Reactions
4 Replies
885 Views
Bei: Tsh 350,000/= Location: Kongowe, Mbagala Simu: 0785753780/0764124429
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Bei: 450,000/= (bargain) Simu: 0785753780 Location: Kongowe, Mbagala (DSM)
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mitsubishi Fuso Bus inauzwa shiling Milion 52. Specification: -Mitsubishi Fuso Bus - Engine type : D17 - Millage : 110,000KM - Capacity: 47 Seat -Interior Condition : Grade A -Exterior Condition...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Salamu wadau. Natafta nyumba ya kupanga single room au mini self. Iwe karibu na mjini (karaikoo). Iwe na tiles yenye usalama na choo cha kujitegemea. Budget yangu isizidi 50k kwa mwezi bila...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Teknolojia mpya USIHANGAIKE KUCHIMBA MASHIMO KWA AJILI YA CHOO Kwa watu ambao wamejenga maeneo ambayo ya maji mengi (high water table level-HWTL) kila ukichimba mashimo kwa ajili ya majitaka...
0 Reactions
115 Replies
14K Views
Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Natafuta mtu wa kushirikiana naye katika biashara ya samaki wabichi hasa Perege na Kambale. Yeye kazi yake itakua kunitumia mimi huku Dar kisha mimi kazi yangu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza gari aina ya Subaru Forester, mwaka 2004. Namba ni T 586 DEB. Gari ipo kwenye hali nzuri sana. Tairi zake pia bado mpya. Na haina tatizo lolote na haijawahi pata tatizo lolote. Bei ni...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Brand infinix Model note 7 lite Ram 4GB Rom 64GB Network 2G 3G 4G Camera Nyuma mp 48 Mbele mp 8 Battery mah 5000 Unlock Fingerprint face id Bei 245000 0657230449 call msg whatsup Dar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nzima kabisa nauza laki 2 Dar es salaam 0768048752
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Wadau wa biashara ya samaki naombeni msaada wenu. Ninataka kuanzisha bucha la samaki lakini kuna mambo kadhaa sijapata taarifa zake kamili hivyo naombeni msaada wenu. 1. Ninaweza kuwapata wapi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
NYUMBA INAUZWA Mahali: Tabata kinyerezi Ukubwa wa kiwanja: 770 sq. M Namba ya vyumba: 3masterbedrooms, sebule, jiko, Choo cha jumuiya na stoo. Huduma: umeme na maji yapo. Bei: 90...
0 Reactions
9 Replies
920 Views
____________________________ Ni watengenezaji we vifaa vya Alminium kama vile [emoji2389]Madisha [emoji2390]Milango [emoji2391]Makabani [emoji2392]Office partition [emoji2393]Balcony...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu, Nataka kufunga car alarm system kwenye gari langu lakini sina utaalamu wa kujua ni kampuni gani napata car alarm nzuri na imara.Nataka car alarm system angalau isivuke tsh 200,000/...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Matunda yaliyokatwakatwa kama haya na kuwekwa kwenye kontena Dsm wanauza Bei gani Wapi wanapouza hapa Dsm matunda (Saladi) kama hizi
0 Reactions
3 Replies
3K Views
NYUMBA INAPANGISHWA Nyumba Ina sebule, jiko, kabati, Choo na chumba kimoja. Mahali: Tegeta kituo cha Namanga karibu na Rabininsia Memorial Hospital. Huduma: Maji, luku binafsi, heater, DSTV na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom