Kiwanja kipo Buhongwa kilomita 1.6 kutoka barabara kuu ya lami Mwanza-Shinyanga.
Kiwanja kimeshapimwa na ukubwa wa kiwanja ni 20m*27m.
Huduma zote za kijamii kama maji, umeme zipo pembezoni mwa...
Pata shamba lililopimwa Viwanja kwenye uso wa ring road Dodoma maeneo ya msalato karibu na uwanja mpya wa ndege , Kitelela, na mahoma heka imepimwa Viwanja tayari inasubiria hati tu bei mil 5 kila...
Name: GENERATOR SOLUTION
Location:Tabata Dar es salaam
Kwa Huduma Bora na Uhakika. Karibu kwa Matatizo yoyote ya Generator lako.
●●Kama unauza au unataka kununua njoo ofisini kwetu. Pia tunafanya...
SUZUKI ARIEL
Year made: 2004
Engine power: 1490 cc,
Petrol engine
Seats: 5
Doors: 4
Bima ipo mpaka Nov 2021
Card ya Gari ipo
Location Dar es salaam, Tegeta
Bei 4.1 milion
Punguzo kidogo...
I'm sales consultant of platinum credit ldt, tunatoa mikopo kwa dhamana ya kadi yako ya gari. Kwa wakazi wa dar es salaam.
MASHARTI KWA MFANYAKAZI
*hati ya mihahara miezi mitatu
*kopi ya...
Habari zenu wakuu,
Binafsi najihusisha na kutoa ushauri wa kibiashara pamoja na huduma zingine za kiuhasibu na kodi jijini Dar es Salaam pamoja na huduma zinginezo.
Katika kutekeleza mpangokazi...
Salaam wananzengo!!
Anahitajika mtaalam wa kujitolea kuandika maandiko ya kibiashara ya kikundi mwenye uzoefu na ujuzi kuandika vitu kama vile business proposal, business plan, company profile...
Wakuu kwema?
Wakuu natafuta nyumba ya kupanga, mkataba nakokaa umeisha. Hali ya uchumi imeyumba hivyo nimeona sitaweza kulipa pesa nayolipa hapa, hivyo natafuta nyumba ya nusu bei ya hapa. Iwe na...
Nauza Eneo kubwa lenye sqm 1600. Eneo lina kisima cha mradi wa kusambaza maji, walivuta maji mpaka sasa ni zaidi ya watu 32. Pia kuna nyumba ambayo haijakamilika, yenye vyumba vinne vya kulala...
Ni wapi naweza fungiwa system ya music kwa gari lako yenye ubora wa hali ya juu?
Kama kuna mwenye upeo na hiyo sehemu naomba niwasiliane naye ..naomba unipe namba yako
habarini wapendwa wa JF, mimi natafuta chupa za plastic kwaajili ya kufanya packaging ya product zangu za mafuta ya kupaka, naomba kujua ni kiwanda gani wanaweza kunitengenezea chupa...
NYUMBA INAUZWA MILLION TISINI (90)
NYUMBA IPO MBAGALA_CHAMANZI.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA HII: 0769160000
Nyumba ina vyumba vinne chumba kimoja master ina sittingroom diningroom jiko store...
Wakuu natafuta mabati ambayo ni used kwajili ya site fence ya ujenzi, pia ukiwa na Playwood(MARINE BOARD) na material zingine za ujenzi
Please tuwasiliane kwa namba 0766943145
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.