Ni wapi nitapata nguo za mtumba kwa bei nafuu Dar es Salaam?

Hamis Zmc

Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
48
Reaction score
27
Kwa Dar wapi naweza kupata nguo nzuri za mtumba kwa bei nafuu?

Kwa wauzaji wa nguo msaada please au Kama sio muuzaji na unamfaham muuzaji fanya kuconnect hapo.
 
Nguo unataka za aina gani kwa bello au unapoint km kupoint nenda ilala km ni bello nitafute nikuoneshe kwa wachina wenyewe wanashusha mabelo ya nguo, viatu..n.k
 
Pamoja Sana Asante
Hizo nenda karume Jumatatu na Ijumaa ndo wanafungua kuna za 2000,4000
na kuna za kujipangia bei zinafika mpaka 15,000
Ila ni za kiwango unaweza weka boutique na Mtu asijue kama ni mtumba
 
Nguo unataka za aina gani kwa bello au unapoint km kupoint nenda ilala km ni bello nitafute nikuoneshe kwa wachina wenyewe wanashusha mabelo ya nguo, viatu..n.k
Boss samahani ni wapi hawa wachina wanapatikana wanauza haya mabelo, msaada tafadhali..!?
 
Boma kuanzia kumi Hadi kumi na mbili....utapata nguo nzuri mno na karume
 
Nguo unataka za aina gani kwa bello au unapoint km kupoint nenda ilala km ni bello nitafute nikuoneshe kwa wachina wenyewe wanashusha mabelo ya nguo, viatu..n.k
Wapo wapi hao wachina tuambie basi
 
Back
Top Bottom