Jackets zinahitajika

Jackets zinahitajika

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,285
Reaction score
11,596
Wadau mulioko dar. Nimepata deal la jacket naombeni kujua zinapopatikana hapa ili Jimamos nije nichukue mzigo. Jackets za kujikinga na mvua na baridi.
 
Kama unataka za mtumba ninazo kiasi chochote unschotaka,
Karibu
 
Nenda Soko la Ilala...sio upande wa Karune.
Huku Ilala sokoni wanafungua mabalo ya majaketi kila siku.

Wahi saa 12 asubuhi kabla madalali hawajakusanya mzigo.
Madalali wanachukua mizigo saa 4 kamili
Maana jaketi utakalolikuta linauzwa sh 2000 au 3000, akija dalali ujue utalinunua kwa 8000 mpaka 12,000 ikifika saa 4
 
Back
Top Bottom