Punguzo la bei msimu wa sikukuu pata Logo, Business Card, Flyers, Posters, Product Labels Msimu huu wa sikukuu

ntinyo

Member
Jul 29, 2017
35
31
Habari wana JF,NTITY BRAND inakupa PUNGUZO KUBWA katika msimu huu wa sikukuu za Christmass na Mwaka Mpya, Kwa mahitaji ya huduma ya graphic designing kama

1. LOGO

Alama ya utambulisho iliyodizainiwa mahsusi kwa ajili ya bidhaa,kampuni,biashara yako, inayotumika kukutambulisha . Pia inatumika kutambulisha huduma,bidhaa,kampuni au mfumo wowote wa vikundi.

2. BUSINESS CARD
Ni kadi Inayoeleza kwa watu juu ya biashara yako, inatoa maelezo yako yote ya Mawasiliano,Ina kuwa na taarifa zako za msingi, kama Jina, Namba ya Simu, Barua Pepe, Unafanya Kazi wapi na Cheo chako.
Bei: 15,000/= kwa 100 pcs
30,000/= Kama huna logo, na unahitaji Logo iwe kwenye design

3. FLYERS
Aina ya tangazo la karatasi/Kipeperushi,linalokusudiwa kusambazwa ambalo kwa kawaida huchapishwa au kusambazwa mahali pa umma,,inawawezesha watu kujua nini unachokifanya
Bei: 15,000/=

4. POSTERS
Ni bango linalodesigniwa kwaajili ya kuliweka katika Mitandao ya kijamii kama Insta,Facebook,Twitter nk,Pia hata kwenye sehemu za biashara au maofisi hutumika kutoa/kuonyesha Tangazo la kitu/jambo husika,mara nying tumeona POSTERS zikitumika kwenye Covers Art za Music,Semina,matangazo ya biashara kwenye mitandao ya kijamii nk
Bei: 15,000/=

5. BROCHURES
Ni karatasi inayokunjwa kiurahisi kuwa kama kakijitabu,mara nying zinatumiwa na mabank, na makampuni,ofisi mbalimbali. hii inawapa taarifa wateja wako kuhusu huduma nyingine wasizofahamu unawapitia pale wanapopata huduma toka kwako na BROCHURES inawaelezea huduma za ziada uzifanyazo
Bei: 15,000/=

6. PRODUCT LABEL AND STICKERS
Ni bandiko linalotumika kubandikwa kwenye bidhaa yako.unaweza ukabandika nembo kwenye bidhaa,bandiko hilo litambulisha brand yako ambapo lazima kutakuwa na LOGO ya biashara yako hivyo kama unataka kutengeneza lebo au stika kama wengi walivyozoea unatakiwa kwanza utengeneza nembo ya biashara ambayo itatumika kama utambulisho wa mmiliki wa biashara na baadae ndio lebo ambayo inakuwa ni mmiliki wa bidhaa.
Bei: 15,000/=

N.B. Nitaanda Design Mbili tofauti, kutokana na idea zako na zangu,Pia nitatoa design katika format ya PNG,JPEG,PDF Kwa zile design zinaohitaj kuprintiwa,pitia baadi ya kzi zangu nilizozifanya

TUNAPATIKANA
KINONDONI NA KIGAMBONI D'SALAAM
0736674747 Call/whatsapp

My Social Media Ads.jpg
ads ya ukweli.jpg
ads ya ukwelii.jpg
kilimo burudani.jpg
mac ads - Copy.jpg
2.jpg
mac ads - Copy.jpg
2.jpg
ashikos.jpg
ashikos.jpg
BIRTHDAY POSTN.jpg
2020-05-14 (14),.jpg
 

Attachments

  • Free Lorry Truck Branding Mockup For Advertisement 2018.jpg
    Free Lorry Truck Branding Mockup For Advertisement 2018.jpg
    221.3 KB · Views: 17
  • 2020-05-14 (14).jpg
    2020-05-14 (14).jpg
    33.8 KB · Views: 15
  • BIRTHDAY POST.jpg
    BIRTHDAY POST.jpg
    325.3 KB · Views: 15
  • CALENDAR DESIGN TWO.jpg
    CALENDAR DESIGN TWO.jpg
    163.8 KB · Views: 16
  • CALENDAR ME.jpg
    CALENDAR ME.jpg
    196.8 KB · Views: 14
  • CALENDAR NJANO.jpg
    CALENDAR NJANO.jpg
    130.3 KB · Views: 14
  • CALENDAR.jpg
    CALENDAR.jpg
    103 KB · Views: 15
  • NTITY PILIPIL.jpg
    NTITY PILIPIL.jpg
    73.9 KB · Views: 16
  • chai mezani.jpg
    chai mezani.jpg
    208.7 KB · Views: 16
  • kahawaaaa - Copy.jpg
    kahawaaaa - Copy.jpg
    362.7 KB · Views: 15
  • mac meals.jpg
    mac meals.jpg
    90.1 KB · Views: 14
  • rice.jpg
    rice.jpg
    202.3 KB · Views: 16
  • saloon.jpg
    saloon.jpg
    269.1 KB · Views: 17
  • zuri.jpg
    zuri.jpg
    300.8 KB · Views: 16
  • coverhh.jpg
    coverhh.jpg
    289 KB · Views: 15
  • covernm.jpg
    covernm.jpg
    160.2 KB · Views: 16
  • dig records.jpg
    dig records.jpg
    109.6 KB · Views: 15
  • downloadsss.png
    downloadsss.png
    486 KB · Views: 16
  • hotel ads.jpg
    hotel ads.jpg
    190.4 KB · Views: 17
  • mafuta.jpg
    mafuta.jpg
    199.7 KB · Views: 16
  • mkate.jpg
    mkate.jpg
    184.8 KB · Views: 18
Back
Top Bottom