Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nipo katika soko la nguo nlikuwa nauza jeans spesho lakini kwa sasa nahita kuuza mitumba. Point yangu ni kwamba naombeni msaada wenu wakuu mniongoze ni wapi ntapata chimbo zuri la jeans na tshirt...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nzima Ni ya kuwasha na kupeleka site Ipo Dar es salaam Engine ni lister petter 5.5m 0768048752
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Greetings JF massive. Ni tumaini langu upo vizuri unaendelea na mishe zako zakutengeneza pesa ili kusukuma gurudumu la maisha. Kwa wale ambao hawapo vizuri msihofu mtapata nguvu tena na...
6 Reactions
55 Replies
6K Views
Habari! Zanzibar Kuna eneo zuri saana coast view plot linauzwa kwa haraka. In case Kama unataka kujenga apartment za watalii, restaurant, Bar, hotel e.t.c hata nyumba yako pia sawa tu. Kiwanja...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Wewe ni mkulima? Unafanya grafting? Unataka kukuzia na kuhifadhia miche? Basi Agroceron ndio wakala Tanzania anayejua hitaji la SEEDLING TRAYS kwa ajili ya kukuzia, kuhifadhia miche kwa ajili ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello ndugu wadau. Naomba kufahamishwa duka gani hapa Dar, naweza pata mashine za kampuni ya foss za kupima grains nutrients.
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Namshukuru tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada wenu jamani eti kuna gari za kutoka temeke hospitali hadi chuo kikuu cha ardhi? Mm ni mgeni kidogo wa jiji sifahamu
0 Reactions
1 Replies
757 Views
Asante kwa wote ambao Mnatupigia simu na mnafika ofisini kwetu na kuchukua bidhaa zetu za simu.. TUNAKULETEA POPOTE ULIPO KWA NAULI YAKO AU NJOO UBUNGO MAWASILIANO karibu kabisa na GETI la Chuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zinatumia Line zote,Zipo znazotumia charger ya Smartphones..Zipo znazotumia charger ya Lap top.. Unaweza kutuma sms na kupokea sms.. Tunakuletea popote ulipo kwa gharama zako.. Au njoo UBUNGO...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Habari Excavator yaani kijiko kinauzwa kipo mkoani Iringa. Bei Tsh 50M. Kipo ktk hali nzuri ni cha kijapani imara Kwa maelezo zaidi ya engine nk na attach card yake. Lakini ukitaka maelezo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari. natafuta watu wenye magari yao binafsi na wapo teyari kuyakodisha kwaajiri ya shughuli za sherehe (harusi, send off n.k) karibu tufanye biashara nina wateja wengi wa kukodi magari...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari Nataka kufanya biashara ila nahitaji mtu wa kunifanyia market research kwenye maeneo mbali mbali hapa dar es salaam Na kunishauri kulingana na alichokipata kwenye hayo maeneo. Aina ya...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
husika na kicha cha habari, sehem gan kwa daslam naweza kupata chumba au vyumba viwili (chumba na sebule) kwa gharama ya kawaida kwa chumba (70tzsh na kushuka) , usafiri usio na usumbufu saana na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tucheck tupo Lumumba mwanza Jengo LA Lumumba complex Being zetu cheeee 0688572784 Karibuni
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Gari kali chuma ya mbrittish Colour-Silver Year-1995 Engine-TDi 300 CC-2495 Fuel-Diesel Mileage-189463 IMEUZWA TAYARI~ SOLD
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KWA MAHITAJI YA RAMANI ZA NYUMBA NA MAJENGO MBALI MBALI. Faida utazozipata kwetu ni hizi. 1: Tutakuandalia gharama zote za ujenzi wa jengo lako. 2: Tutakusaidia kufuatilia kibari cha ujenzi...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Habari wakuu. Natafuta pilipili za aina ya charapita (Aji Charapita yellow chilli peppers). Wakati mwingine huwa zinaota mashambani (wild charapita). Mwenye nazo tafadhali tuwasiliane 0676434611...
2 Reactions
1 Replies
778 Views
Kwa yoyote mwenye mabadiliko ya bei ya vifurushi vya Dstv naomba aweke ubaoni ... Bomba, Family, Compact, Compact + & Premium.
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Back
Top Bottom