Mdada mtaalam wa kupika

Mdada mtaalam wa kupika

Status
Not open for further replies.

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
5,812
Reaction score
11,501
Heshima yenu. Nahitaji mdada anayepatikana Dar es Salaam mjuzi hasa wa mapishi aje apike siku ya Krismas. Piga namba hii 0683 565025

Updates:
Nimefanikiwa kupata.

Nashukuru!
 
Heshima yenu. Nahitaji mdada anayepatikana Dar es Salaam mjuzi hasa wa mapishi aje apike siku ya Krismas. Piga namba hii 0683 565025
Anaruhusiwa kuja na mmewe au unataka baada mapishi umle nayeye?? Huna ndugu,jamaa na marafiki huko kwenu wanaojua kupika? Wewe una lako jambo zaidi ya kupika!
 
Heshima yenu. Nahitaji mdada anayepatikana Dar es Salaam mjuzi hasa wa mapishi aje apike siku ya Krismas. Piga namba hii 0683 565025
Rutagwerera Sr una mke hapo nyumbani au shemeji mwanamke? Nina mpishi mzuri tu ajuaye kupika kila aina ya chakula, nataka nikuletee hapo nyumbani ila nina matakwa yangu nataka yatekelezwe. Huyu mwana mama atakupikia ila nami itabidi unipe mmoja kati ya mkeo au shemeji yako nijivinjari naye nikiwa nasubiri huyu demu kumaliza kukupikia. Kama uko serious nijulishe.
 
Nimepata mkuu kuna mdada amenipigia.
Umenifurahisha ndugu 😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom