Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,812
- 11,501
Lipo ndani ya box mkuu. Nilitoa kutwanga photoooHapo ulipoliweka bila ya kulitangulizia box au mbao likikaa muda mrefu linaharibika.
La Moro HiloLimechomolewa wapi iloo
Betri inauzwa ipo Goba. Sio betri kavu ni la maji. Maelewano check me pm
Ilikua ni kitendo cha sekunde kupiga picha na kurudisha ndani ya boxUlipoweka chini hapo umeua betri, haifai tena
2mil. mbona nyingi sana,punguza kidogoBetri inauzwa ipo Goba. Sio betri kavu ni la maji. Maelewano check me pm
Betri inauzwa ipo Goba. Sio betri kavu ni la maji. Maelewano check me pm