Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza iPhone 6s gb64...bado ipo kwenye hali nzuri 0719805851 290000 tu kaka
1 Reactions
3 Replies
935 Views
Habari wapendwa Nauza maziwa fresh ya ng'ombe, Bei , 1 liter 2400Tsh Nusu, 1200Tsh Location: Dar es Salaam , Kimara Cont: 0654171555
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wandugu Naitaji Cartridge tajwa hapo juu ikiwa full complete Kwa ajili ya printer yangu ambayo nimeweka picha yake hapo chini Mtu yoyote ambae anauza basi anidm tufanye biashara Niko dodoma...
1 Reactions
1 Replies
949 Views
Jamani nahitaji net aina hiii iliyo kama kibanda Nipo Dar kama unazo dukani kwako nijulishe.
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Wakuu Nahitaji kupata full body housing ya nokia 5.1 plus. Anayeweza kunisaidia tuwasiliane tafadhali
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Xmas offer Bei ya Punguzo JIPATIE OPAY M1 lite Full view display Fingers print 3000mAh battery [emoji367] 2GB Ram 16 Gb Front camera 5.0 MP Back camera 8.0 MP Full box SEALED Bei 135000...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Kama jina la mada linavyosomeka, mimi natafuta fundi mwashi mzoefu hususan katika mambo ya ukarabati wa nyumba. Kwa vile JF ni jukwaa lenye mchanganyiko wa kila aina ya watu wenye...
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Umwagiliaji na ujenz wa septic tank na soaking pit kwajili ya kutibu maji taka kutoka katka mifumo ya majitaka nyumba yako
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je Unahitaji spika za laptop bei 35,000 tu 0652759293
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa la biashara. Mdau mwenzenu nimewaza sana biashara ya kufanya baada ya kudunduliza kwa mda mrefu sana Tsh 10 millions na nikakopa 10 million jumla nna 20 million...
2 Reactions
16 Replies
11K Views
Very unique Star X rechargeable wall fan..sofa za hili fan ni kua linajichaji wakati linatumika kwaiyo umeme ukikatika linaendelea kufanya kazi Kwa muda wa saa7 na umeme ukirudi litaendelea...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za xmass wakuu ,nina uhitaji wa chumba kigamboni kiwe mji mwema kuelekea ferry ambacho ni single.Ntashikuru kama ntapata.
1 Reactions
3 Replies
874 Views
Natafuta chumba Master na sebule maeneo ya Kimara Baruti mpaka Suka au Goba center kurudi Mbezi Beach. Ikijitegemea luku nzuri zaidi na parking Muhimu Pia Offer Yangu laki moja (100,000)...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu naomba yeyote anaejua mashine za kufyatua matofali matofali ya udongo Kwa Mfumo wa kisasa anielekeze na bei yake. Mpaka sasa tofali za udongo za kuchoma ndzo zinatumika sana kwenye ujenzi...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari wana jukwaa... Natafuta hii machine iwe used au mpya. Hata kama ipo nje ya nchi naomba tuwasiliane vizuri ikiwa ndani ya Africa.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nyumba mpya inauzwa ipo mjini Chanika Mwisho. Kwa tshg million 21,000,000/= Ukubwa wa eneo sqm 400 Nipigie:+255 6 28 00 82 18/+255 7 54 90 80 45 Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Napatikana Dar Wilaya ya kinondoni, kata ya Kawe, kwa mawasiliano 0625959542. Unapata kitanda cha 5*6 na bed side zake mbili....wahi kabla ya offer haijapita.bei ni 250000 fixed. Karibu sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HII NDIO KAMPUNI BORA YA USAFI TANZANIA⁣ ⁣ [emoji3591] TUNATOA HUDUMA ZA USAFI WA NYUMBANI [emoji537] NA OFISINI [emoji539]⁣⁣ ⁣⁣@mrusafitz @mrusafitz @mrusafitz [emoji117] Kusafisha ⁣⁣ [emoji819]...
1 Reactions
1 Replies
835 Views
Brand new samsung A20 PERFORMANCEOcta core DISPLAY6.4" (16.26 cm) STORAGE32 GB CAMERA13 MP + 5 MP BATTERY4000 mAh RAM3 GB bei 400,000tsh whatsapp no 0738929307 warranty miaka miwili location china...
1 Reactions
135 Replies
16K Views
Back
Top Bottom