Kuna Xbox 360 zimechipiwa,zina games zaidi ya tano ndani,zina pad Moja moja,cables na adaptors, machine hazina tatizo lolote na naziuza kwa bei ya kutupa 260k kila moja,no 0658327429,nipo DSM...
Form four mwenye Pass mbili na kuendelea( D2)
Unaweza kusoma kozi ya Business operation assistant (BOA) Ambayo ipo chini ya VETA na ukafika mpaka chuoo kikuu au Kupata ajira mara baada ya...
Karibuni wale wa Mwanza jumatatu kuanzia saa tano asubuhi nakata Belo la bwanga za design Kama hii kwa 6000 rejareja na 5000 ukichukua kuanzia 10.
Tupo kiloleli Mwanza ulipokua mnada zamani...
Unaweza jipatia kuku wa kienyeji na mayai toka Dodoma popote ulipo ndan ya Dar es Salaam, kwa Bei ya trei moja 15k, Ila jumla 13k na kuku wa kienyeji 20k jumla Ila 23k rejareja.
NB: NAPOSEMA...
Kama wewe ni mfanyabiashara, na biashara yako imekua sana,unapata wateja wa kutosha online, unafahamu jinsi ya kufanya matangazo yanayorudisha faida , basi hii sio kwa ajili yako
Lakini kama...
Wanandugu nauza godoro langu jipya nlinunua nipange rum tkifungua chuo lakini naona hesab Zimeenda ovyo.
Ukubwa : 5 kwa 6
Upana : inch 8
Bei : 160 k
Napatikana:mbagala
kuu
Mawsiliano 0628731833...
Naomba kuuliza kwa wanaosafirisha au Kutuma mizigo midogo midogo kwenda mikoani ni usafiri upi huwaga mnautumia kwa gharama nafuu, zaidi Sana kwa kampuni za Ma Bus.
Kuna mzigo nataka niutume...
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO imetangaza kuanza rasmi promosheni ya Camon16 Billboard Star ambayo itawawezesha wafuasi wake wa kurasa za mtandani pamoja na wateja kwa ujumla kujinyakulia...
Habari Karibuni mjipatie makapet mazuri kwaajili ya sebule yako au chumbani kwako
Ukubwa wa kapets Ni Cm320*Cm 200 marefu kwa mapana ambapo Ni sawa na meta tatu na robo kwa meta mbili marefu kwa...
MASHUKE– (Agosti 23- September 23)
Leo Jiepushe na maneno maana inaonekana utalaumiwa kwa mambo ambayo hukuyatarajia au hukuyafanya kuwa makini sana na mipangilio yako hasa masuala yanayohusiana...
Tunauza chupa za maji Brand ya Hellow Master zipo Rangi tofauti tofauti
Ukubwa wa chupa Ni Mml 480
Material ya chupa Ni Glass
Bei ni sh 5,000 tu kwa chupa moja
Zipo Rangi Kama nne
Kijani...
Gari ni mpya Plate no. imetoka jana.
SPECIFICATIONS:
Make: Toyota
Model: RunX
Body Style: Hatchback
Color: Sky Blue
Odometer: 58,000km
Transmission: Auto
Bei ni 12.5m subjected to Negotiations.
Wakuu Tunatablets za watoto zenye sehemu ya kuweka Line
Zinatumia WiFi
Line ya kawaida so ni simu as well
Ina application zote Kama smatphone ilivyo
Waweza download games za watoto
Study...
Habari wanaJF,
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya SUA mazimbu campus, chumba kiwe karibu na chuo, kwa yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali naomba ani-PM.
Natanguliza shukrani zangu za dhati!
habari wadau
natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo
kubaliana ,ambaye yuko tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.