House4Sale nyumba inauzwa tabata magengeni

mmewadadako

JF-Expert Member
Mar 29, 2019
525
840
-Ina vyumba vinne kimoja master
-Sebule
-Dinning hall
-Jiko
-Stoo
-Choo cha jumuia
-Kiwanja kina ukubwa wa sqm 700

mengineyo
-ina fremu 4 za kupangisha zinazotumika
-ina nyumba ya pembeni ya kupangisha yenye vyumba 2 na sebule ..chumba kimoja master
-perving blocks
-ukuta kuzunguka nyumba
-nyumba iko m 800 kutoka barabara ya segerea

BEI: 80M
MAWASILIANO: 0765 494 548

NB:nyumba haina mgogoro wowote muhusika anauza anahamia Dodoma kikazi.

IMG-20200930-WA0027.jpeg
IMG-20200930-WA0024.jpeg
IMG-20200930-WA0020.jpeg
IMG-20200930-WA0023.jpeg
IMG-20200930-WA0026.jpeg
IMG-20200930-WA0019.jpeg
 
Kwa mtu anaetaka kuwekeza kwenye hii nyumba: (return ya nyumba kwa mwezi )

-kupangisha nyumba kubwa ni kama 500k kwa mwezi,nyumba ya pembeni ni 250k kwa mwezi,frem ziko nne kila moja 50k so inakua 200k kwa mwezi

-so ukinununua hii nyumba ukapangisha kwa mwezi unapata almost 1m ambayo ni kama 12 kwa mwaka..na kama mnavyojua tabata kuna uhitaji sana wa nyumba za kupanga

Changamkia nyumba hii hakuna longolongo ...bei ni 80m tu
 
KWA hesabu hii mkuu...ukimpigia mwenye nyumba hawezi akaiuza labda awe mjinga....

Sema hesabu haina maabara..
 
mwenye nyumba anahamia dodoma...anauza akajenge huko
Aaah...ok

Ila hzo ndo fursa asipotokea mteja...andaa business yako plan nzur kama ulivyochanganua apo juu,then unamshawishi mwenye nyumba akikubali unaenda chukua mkopo bank kwa business plan yako...

Huo mkopo unampa mwenye nyumba afu mnakubaliana kile mwez unampa laki 8 au 7 adi deni linaisha then mwsho wa sku unamiliki mjengo kimasihara tu..
 
Interesting sana

Bank hawakupi mkopo bila hati, sasa kama hujailipia hati utaipataje?
 
Hilo mbna jepesi kabsa mkuu...

Apo ni jinsi tu ya kuwasilisha mawazo yako ktk vichwa vya watu..

Kuna movie moja inaitwa THE BANKER ukipata wasaa kaicheki utaelewa apo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom