Bei nafuu ya usafirishaji mizigo kwenda mkoani

Joined
Sep 26, 2020
Posts
31
Reaction score
23
Naomba kuuliza kwa wanaosafirisha au Kutuma mizigo midogo midogo kwenda mikoani ni usafiri upi huwaga mnautumia kwa gharama nafuu, zaidi Sana kwa kampuni za Ma Bus.

Kuna mzigo nataka niutume kwenda TUNDUMA huko naombeni mawaidha yenu.

Aina ya mzigo n kiroba Cha nguo.
 
Iwapo mzigo ni mdogo, na hauna uzito mkubwa - Tumia EMS, hii ni huduma ya posta na ni salama sana.

Ila iwapo mzigo ni mkubwa basi ni vyema ukatumia mabasi.
 
Mzigo ni kiroba cha nguo, unafika nusu kwenye ile mifuko ya debe sita ya mahindi kama unaijua hiyo
 
Iwapo mzigo ni mdogo, na hauna uzito mkubwa - Tumia EMS, hii ni huduma ya posta na ni salama sana.

Ila iwapo mzigo ni mkubwa basi ni vyema ukatumia mabasi.
Makato TRA ni ngapi?
 
Naomba kuuliza kwa wanaosafirisha au Kutuma mizigo midogo midogo kwenda mikoani ni usafiri upi huwaga mnautumia kwa gharama nafuu, zaidi Sana kwa kampuni za Ma Bus.

Kuna mzigo nataka niutume kwenda TUNDUMA huko naombeni mawaidha yenu.

Aina ya mzigo n kiroba Cha nguo.
5000 mpaka 10,000 inatosha.
Hakuna makato ya kitu kitu kinachoitwa TRA
 
Nina mzigo wa kusafirisha kwenda Kisaki Morogoro, please wasafirishaji Nisaidieni
 
Kuna mizigo nataka kutuma Nairobi mwenye uzoefu kutuma mizigo Kenya naomba msaada
 
Watumie ABOOD, WANAUTALATIBU MZURI, PIA UKIPOTEA WANAKULIPA...GHARAMA NI NAFUU SANAA
 
Kumbuka Abood Moro kwenda Dar bahasha tuu ni sh elfu 5. Viroba au maboksi yana bei yake kulingana na size.
 
Assume natuma Kilo 20 za Mchele Kwa Bi Mkubwa.

Kilo 3 za Mwanzo = 8,000
Kilo 17 zinazozidi*600 = 10,200
Jumla Kuu - 18,200

Mbona Ghali sana?
mpe bimkubwa tigopesa 18+uliyonunua mchele kilo20 atapata 100,000.
Mpe cash m pesa ye atajua cha kufanya.
Mchele super 2000 Dar *20 =40000-100000
-60 hii baki kuna kuku,Nyanja,Samaki watahusika
Zikiisha no ipo
 
Iwapo mzigo ni mdogo, na hauna uzito mkubwa - Tumia EMS, hii ni huduma ya posta na ni salama sana.

Ila iwapo mzigo ni mkubwa basi ni vyema ukatumia mabasi.
Bahasha tu saizi ya A4 ni sh 15,000 au zaidi
 
Back
Top Bottom