Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za leo wanaJF, Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Goba ama Mbezi Africana/Luis yenye vyumba viwili/vitatu vya kulala, choo, sebule, jiko na dining. Umeme uwe wa kujitegemea, maji...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Price: 4 mil iPhone 12 Pro Max 256GB Availability location: Dar Mwenge. Unapewa na vocha ya elfu 10 kwa mtandao utakaopenda Karibuni Call us now +255744033555
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Pajero GDI namba B Year made: 1998 Engine power: cc 1800 Mileage: 198,521 Bima ipo mpaka march 2021 Kadi yake ipo Ina radio, 4 WL drive Location Dar es salaam. Bei 4.5mil. Punguzo kidogo...
4 Reactions
68 Replies
7K Views
Nina mahitaji ya haraka ya folding table au meza za kujikunja kama hii hapa kwenye picha. Zinapatikana wapi hapa Dar es Salaam? Meza kama hii unaweza kunja miguu yake na hata zingine unaweza...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
SUZUKI ARIEL Year made: 2004 Engine power: 1490 cc, Petrol engine Seats: 5 Doors: 4 Mileage: 120,000 Bima ipo mpaka Nov 2021 Kadi yake ipo Location Dar es salaam, Tegeta Bei 3.5...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tupigie [emoji338][emoji390]0623 160 404 [emoji338][emoji390]0758 293 587 ____________________________ Ujipatie Mbao zenye dawa kwa bei poa naa upate ofa nyingi ikiwemo 1. Misumari Bure 10kg 2...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Desktop inauzwa Moshi mjini. Imetumika mwaka mmoja tu Cpu yake (Type) ni Packard Bell Ram 4GB HDD Ni 500 GB Processor Type ni AMD 1.4GHZ Bei 300K Full set. Haina tatizo haijawahi kufunguliwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jipatie Huawei MiFi router original ya 4G inayotumia line za mitandao yote Tanzania kwa bei nafuu kabisa ya Tsh 120,000/= Tuwasiliane kwa number 0753 12 14 04 au 0658 02 03 61 kwa maongezi zaidi...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau wa Jiji la raha na karaha naomba kujua bei za viwanja per square meter maeneo ya MAKONGO JUU, GOBA, MADALE ukanda uwo kwa ujumla nk.
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Wanabodi habari... Kichwa Cha habari chahusika Nina milion 2 tu natafuta kiwanja Dodoma eneo la Msalato au Veyula. Kiwe na ukubwa was nusu heka na kuendelea. Umbali kutoka barabara ya Dom arusha...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala chumba kimoja master dining room public toilet jiko stoo na sitting room Kwa tshg million 28,000,000/= Ukubwa wa eneo sqm 400 Ina hati ya ofisi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mawasiliano/Contacts 0659 91 33 44. Specifications; Specifications; -Power; Electric or Fuel. -Power;0.75KW. -Efficiency;300KG/H. -Speed of pressing;250 r/min. -Size;A customized Tent/Umbrella. 1...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu wadau wa JF. kama kichwa cha habari, natafuta office ya kupanga eneo kuanzia kivulini mpaka roundabout ya Mwenge. Office yaweza kuwa ground flow au hata gorofani. Nb: office iwe...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Salam kwenu wakuu. Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area. Lina vyumba vitatu. Masterroom 1 Vyumba vya kawaida -2 Sitting room Dinning room Kitchen na store...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Sifa za kiwanja Chanika mwisho-Zogo Ali Ukubwa 19m*19m Kina msingi imara, vyumba vitatu, kimoja master, sitting, dinning, public toilet, jiko Kina njia za gari pande mbili Umeme upo karibu Simu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu mdau kwa umeme wa majumbani na viwandani. Unaweza kupata huduma kama vile marekebisho, ujenzi mpya wa mifumo ya umeme, ushauri au suluhisho la tatizo katika mifumo ya umeme, ukaguzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji nipate sehemu nzuri ya kuweka steshenari kama kuna mtu atakuwa anafahamu location nzuri affordable anisaidie ili niweze kuhamisha ofisi yangu
0 Reactions
6 Replies
820 Views
Nahitaji kupata mwanga kuhusiana na biashara ya vifaa used vya mtumba vya electronic ni biashara ambayo pia navitiwa nayo Sana nahitaji niweze kuifanya hata nikianza na kidogo nione mana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibu! Nakaribisha mfanyabiashara yoyoye ambaye ni SUPPLIER wa bidhaa mbalimbali, uniambie una supply nini na bei zako zipoje. Naweza kua mteja wako, mana nami pia ni mfanyabiashara. Nitakua...
0 Reactions
97 Replies
12K Views
Back
Top Bottom