Natafuta garage nzuri ya kutengeneza a.c za magari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta garage nzuri ya kutengeneza a.c za magari

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MKATA KIU, Jan 4, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Wadau naombeni msaada wa mawazo, ipi ni garage nzuri ya kurepair car a.c,, maana nateseka na joto hili baada ya a.c ya gari kuzingua..

  thanks for your cooperations
   
 2. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wasiliana na Musa-Kariakoo Gerezani-0715204184.

  Huyu ni fundi mwaminifu, hodari na mtaalamu wa Engine. Ana timu yake iliyokamilika katika nyanja zingine. Mimi humtumia kama Supervisor wa service ya magari ya Boss wangu. Jana tu wamenitengeneza A/C ya Grand Mark II ya Boss ilikuwa inasumbua sasa iko full kipupwe. Na hapigi cha juu.
   
 3. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Upo maeneo gani?

  Kuna kijana yupo maeneo ya Victoria, karibu na hospital ya Mission Mikocheni.

  Mcheki kwenye simu hapa:

  Bariki, 0712 958900
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ilala shauri moyo kuna mtaalam anaitwa Makofia hapo ni mwisho dar nzima anaheshimika anatengeneza na spea zote anazo
   
 5. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Nenda pale Kinondoni makaburini opposite na mgahawa wa Manhattan kuna vijana pale wanalamba matatizo ya AC kama mchezo. Hawana longolongo unasubiri gari yako unaondoka nayo na hawana tamaa ya kucharge hela nyingi sana. Kawajaribu.

  Tiba
   
 6. k

  kamalaika Senior Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2007
  Messages: 187
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nenda kwa makofia gerezani karibu na TRA you will never regret.
   
 7. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hawa Vijana hata mimi nimeshawatumia kwa gari mbili tofauti, na kazi yao ni safi sana... Halaf charge yao sasa ndio utashangaa... sijawahi kuchargiwa zaidi ya elfu 10...
   
 8. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Upo maeneo gani?

  Kuna kijana yupo maeneo ya Victoria, karibu na hospital ya Mission Mikocheni.

  Mcheki kwenye simu hapa:

  Bariki, 0712 958900

  kaka nipo Maeneo ya Tabata but nafanya shughuli zangu town, so nitamtafuta, thanks for your cooperation
   
 9. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Nisaidie namba ya makofia if possible nimtafute
   
 10. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  sister nisaidie namba ya makofia if possible
   
 11. k

  kamalaika Senior Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 16, 2007
  Messages: 187
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Natumaini bado anatumia hii number 0754692863. nina muda kama miaka miwili sijawa na mawasiliano nae.
   
 12. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hapo akili mukichwa,

  sasa mkatakiu unalia nini?? lol
   
 13. F

  Fofader JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Inategemea system ya gari gani. Ya kwangu ni Super custom - Hiace na nimeshajaribu baadhi ya waliotajwa hapa lakini mpaka leo kimeo. Opinion yangu ni kuwa kwa Dsm sijaona fundi wa ac ambaye ni mwisho wa matatizo kwa system zote. Ila jaribu.
   
 14. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280

  Ikunda, that avatar means alot to me, but inshort i am coming from life of crying, i cry alot in my life in different moments after alot of life disspointments from people i believe,,, lets ended there, hopin you get me....
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu endelea na hiyo habari, tupo pamoja
   
 16. M

  Mubii Senior Member

  #16
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nashukuru mi nilimpata na alisaidia tatizo la gari langu.
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Makofia ndiye mtaalam wa AC za magari hapa TZ naweza sema! Tatizo lake anacharge high sana!
   
 18. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,408
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Makofia tu, wengine sijui
   
 19. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hata mimi nimekuwa interested. Kama vp anzisha uzi kabisa.
   
 20. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Mkuu.. kuwa specific kidogo kwa faida ya wote. Wametajwa vijana wa maeneo mbalimbali.
  Unaowasema wewe ni wepi? wa eneo gani?
  Asante
   
Loading...