Nauza LG flat screen

jerrybanks

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
3,544
2,000
Nauza lg tv
inch 32
Ni full hd
Imetumika miezi 4 tu
Iko full na box lake
Nipo nayo Ilala Bungoni
Naiuza kwa laki 3 fixed
0623953036 whatsapp/calls
20201119_074518.jpg
20201119_074525.jpg
 
jerrybanks

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
3,544
2,000
hiyo ni copy LG ambayo bei ya jumla kariakoo kuanzia 10pieces ni 150k,bei ya kununua dukani mpya ni 280-250 unapata mpya ndani ya box lake.

wewe unauza 300k bei sio rafiki kwa aina ya tv unayouza,atleast uwe muungwana bei yako uza 200k mkuu.
naomba nielekeze hilo duka wanalouza lg inch 32 kwa 280 nikanunue
 
SEASON 5

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
485
1,000

sikuelekezi mkuu unaweza ukapotea ukasema nimekuingiza choo cha wanajeshi ukanilaumu,nakupenda sana ndugu yangu naomba chukua hizi namba ukifika k.koo piga 0655-746693 duka lipo mtaa wa aggrey barabarani ilipo benki ya posta.

baada ya benki ya posta tu duka la kwanza mkono wako wa kulia kama unaelekea china plaza,ingia duka hilo hilo usiulize kitu piga hiyo namba ukiwa ndani ya hilo duka utaona ataepokea kisha muonyeshe hii comment unayoisoma hapa,usiongee mara mbili.

sio LG tu kuna Hisence,star x,maisha,sony na tv nyingine nyingi tu mkuu,nadhani ukifika dukani utaona zaidi kwa macho yako kuliko haya maelezo ninayotoa hapa.
 
BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,724

Bank ya posta mtaa wa Agrey? Acha umburura
 
jerrybanks

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
3,544
2,000
Bank ya posta mtaa wa Agrey? Acha umburura
sijaelewa intention yake maana huenda hajui labda kuwa nnapokaa na kkoo ni dakika 10 tu kwa miguu na ninaijua in and out sema bado nafkiria kinachomfanya akomalie kuwa lg inauzwa 180 inch 32 ni kipi maana star x tu inauzwa 350 kkoo
 
BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,724
2,000
sijaelewa intention yake maana huenda hajui labda kuwa nnapokaa na kkoo ni dakika 10 tu kwa miguu na ninaijua in and out sema bado nafkiria kinachomfanya akomalie kuwa lg inauzwa 180 inch 32 ni kipi maana star x tu inauzwa 350 kkoo

Kuna thread yangu pia nauza tv size 43 huyo jamaa ni kawaida yake kuvamia thread za watu na kuandika ujinga wake
 
SEASON 5

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
485
1,000
sijaelewa intention yake maana huenda hajui labda kuwa nnapokaa na kkoo ni dakika 10 tu kwa miguu na ninaijua in and out sema bado nafkiria kinachomfanya akomalie kuwa lg inauzwa 180 inch 32 ni kipi maana star x tu inauzwa 350 kkoo
wewe ni wakuja usibishe
 
SEASON 5

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
485
1,000
Kuna thread yangu pia nauza tv size 43 huyo jamaa ni kawaida yake kuvamia thread za watu na kuandika ujinga wake
wewe mkolomije ulieuziwa lg 43inch ile bei tena nyamaza kabisa wewe tena ni zaidi ya mkimboka,unaniona kwenye nyuzi za tv sana kwasababu najua tv nalala nazo naamka nazo nashinda nazo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom