mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 223
Nauza Xbox 360 iko na Kinetic na Pad Moja Na Game Moja, Pia Kuna Ps3 iko complete Pad 1 na game moja..Kwa Anayehitaji ni PM..
Ps 2 unayo? na hiyo Ps3 unatembeza ngapi Tzs ni PM majibuNauza Xbox 360 iko na Kinetic na Pad Moja Na Game Moja, Pia Kuna Ps3 iko complete Pad 1 na game moja..Kwa Anayehitaji ni PM..
Ps 2 unayo? na hiyo Ps3 unatembeza ngapi Tzs ni PM majibu
Ilikuwa 420,000 lkn kwa sasa nauza 360,000 complete na kinetic