Haya material ni punje zilizotokana na mawe yaliyo sangwa, kwakweli inapendeza, itakuondoa katika hali ya kupaka rangi jengo lako miaka hadi miaka. Inadumu sana, inafaa ndani na nje.
Hapa...
Kichwa cha habari chahusika
Wakuu humu wanaofanya udalali
Naomba kupatiwa chumba chenye hali nzuri kinachofikika na usafiri chenye huduma zote na usalama maeneo tajwa.
Nicheki kwa SMS or...
Ndugu zanguni, Natafuta body ya nissan patrol y62(2006) na dashboard yake
Hata nikipata bei elekezi utakuwa ni msaada mkubwa pia.
Marekebisho..
Leo nilienda kuicheki gari yenyewe, aliyeniambia...
Tunauza bidhaa za plastic kutoka Misri kwa bei ya jumla na reja reja,. tuna flower pots, viti, meza, pallets, containers, michezo ya watoto. kwa mawasiliano 0677045403 au tembelea ofisi zetu...
Wakuu salam, nauza tv yangu mpya brand LG size 43 model ya 2019, ni tv ya kisasa sana, Ina features zote mhimu km internet, Netflix, YouTube na nyingine Nyingi km zilivyo tv za kisasa.
Tv...
KIWANJA SAFI KABISA NAUZA
.
PRICE MILION NANE (8)
.
LOCATION KIVULE CCM ILALA (DSM)
.
UKUBWA sqm 500
.
MAWASILIANO 0764519006
.
HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KARIBU NA KIWANJA,
.KIWANJA KIPO KARIBU...
habari zenu wakuu,
kwa wale wote wanaotaka LOGO kwa ajili ya makampuni, NGO's na mashirika mbal mbali, ukitaka LOGO ya 3D au 2D zote tunadesign kwa 50,000 tu unapata brand logo yako nzuri na...
Wanabodi,
Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total
Way wa Total ambao ni ma Sterling watatu wa vídeo maalum ya Total The Jerusaléma Challenge, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Total...
Habarini wakuu..
Nauza turubai aina tofauti tofauti, ambazo zinaweza kutumika kwa shughuli mbali mbali kama vile kuanikia mazao (mpunga n.k)
Turubai nyeupe (size 4/5) 50,000/= Katon
Turubai za...
Tunatoa huduma
wiring
Installation of air condition
CCTV camera
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi
Kwa namba zifuatazo
0716456379
0764459259
0687567376
Iwe na vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na usalama pia.
Sihitaji dalali, na ninahitaji mkataba wa miezi mitatu (3) kwanza.
Nyumba...
Habari wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu kwa pamoja iitikieni salamu😁
Nahitaji laptop(acer,hp,lenovo na asus) used na iwe kwenye condition nzuri iwe na sifa zifuatazo
1...
Habari wadau..
Nauza turubai 4 zenye za kisasa kwa bei poa.
Turubai 1
Size: Futi 20 kwa 20
Rangi ya Turubai: Nyeupe (Kenya)
Size ya bomba: Inchi 2
Bei: 800,000
Turubai 3
Size: Futi 16 kwa 20...
Habari wana JF
Ninayo mashine ya kuchomelea vyuma (Welding mashine) naiuza 150,000/=.
Nipo Mtoni kwa Azizi Ali, na mashime ipo Mbezi ya Tegeta Dar es salaam.
Nipigie 0719 785 546
Sent from...
Wadau naombeni msaada wa mawazo, ipi ni garage nzuri ya kurepair car a.c,, maana nateseka na joto hili baada ya a.c ya gari kuzingua..
thanks for your cooperations
Madereva wa Tanzania, Wahimizwa Kutumia Vilainishi Vyenye Ubora, ili Magari yao Yadumu Zaidi na Zaidi
Kampuni ya mafuta ya Total, ambayo ndio kampuni inayoongoza kwenye uuzaji na usambazaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.