Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

bei 250000. Ipo katika hali nzuri earphone zake za apple
0 Reactions
9 Replies
2K Views
abari wadau, Nahitaji keyboard ya laptop dell studio 1735 ambayo ni nzima na inafanya kazi key zote.Angalia picha na kama unayo njoo 0763969066
1 Reactions
4 Replies
876 Views
Nawasalimu katika jina la bwana, nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kimara, Mbezi Ubungo. iwe na vyumba viwil vya kulala iwe inajitegemea maji na umeme umbali kutoka main road isiwe above 3km...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwenye mazingira ya kawaida offer yangu 60k Kama kipo tuwasiliane 0682202114 Chap chap
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunazo GODORO mpya kabisa na usafiri bureee mpaka mlangoni kwako kampuni GSM TUNAUZA MAGODORO POPOTE YANAKUFIKIA BURE KABISA TUPIGIE 0763542515 DAR inchi 8 5*6 unalipata kwa 170000 tu Inchi 6 5*6...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuanzie hapa: Jaribu kutembelea website ya NECTA, halafu angalia matokeo ya wale waliofanya Mitihani ya kidato cha nne kama Private Candidates mfano Resitters ama QT Angalia matokeo ya vituo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Na steshenari yangu ipo maeneo ya Mbezi Beach afrikana nafanya huduma ya mobile stationery nakufata mpaka sehem ulipo huduma nazo toa ni kama vile. Natoa mikataba yote ya mauziano mikataka ya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi Meza zile za plastiki huwa ni bei gani kwa mpya zile zinazotumika kwenye migahawa au kwenye Bar. NB:Nipo nje ya mji na zinahitajika, kwa wanaojua mnijibu tafadhali.
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Je, biashara yako inahangaika kupata wateja wa kutosha Online? ...Je, unafanya matangazo ya sponsored lakini hayakuletei wateja kama unavyotaka? Unaishia kupata likes tu Je,unatamani kweli...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana Zengo, Rafilki yangu anaitaji piki piki boxer ya kununua. Yupo Dar es salaam. Piki piki iwe namba B au C Nahitaji mbili 125 au 150 Ofa yangu ni 850000 kwa kila moja karibuni PM...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kabati ni ndefu sana. -Ni ya kisasa zile zisizokuwa na mlango,unaweza kudisplay chochote kuanzia mikoba,nguo na vitu vyako vidogo vidogo. Ina droo kubwa mno ya kuhifadhia unachokipenda -Ni ndefu...
1 Reactions
3 Replies
960 Views
Wanajamvi nina wazo la kufungua kiwanda cha maji ya kunywa (kama kilimanjaro,uhai,sayona). Mwenye ufahamu juu ya initial cost na mitambo ya kutengeneza na ku purify maji and the whole process juu...
0 Reactions
94 Replies
36K Views
Haina haja ya kuingia madukani kutafuta kifaa kimoja kimoja, kwa mtaji wako njoo uchukue saluni nzima ukaanze kazi..... Hapa kuna. 1. Kiti cha kunyolea na kusubiria 2. Kabati ndogo ya vifaa 3...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
Wandugu karibuni, wale wapweke na wanataka kuunganishwa na wenza wao (watarajiwa) tuonane kesho tare. 3/12/2016 kwenye NYAMA CHOMA FESTIVAL, Banda letu utaliona ukiingia geti kuu, mkono wa KUSHOTO.
0 Reactions
2 Replies
762 Views
Wakuu habari zenu. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna nyumba inauzwa hapa Kinondoni. Hii ni nyumba ya ndugu yangu. Sababu ya kuiuza ni Kuna mambo yake anahitaji kuyaweka sawa ambayo ikienda...
5 Reactions
74 Replies
11K Views
Majina yote haya hutumika kuelezea dawa kiboko ya nguvu za kiume yenye ufanisi kwa asilimia mia. Ni dawa yenye asili ya mimea tu na haina madhara kwa mtumiaji. Itakufanya udumu kwenye tendo la...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Fridge hilo hapo kama linavyoonekana pichani...HALIJATUMIKA SANA...LINA GAS YA KUTOSHA. Lina Warranty ya Miaka 2. Lipo safi kabisa zima...ENERGY SAVER, LINA FRIZA NDANI LINAGANDISHA SANA...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Natafuta mtu humu mwenye Freezer ndogo aniuzie. Kuna kakijiwe kangu nataka kukamilisha. Dukani najua zipo ila natafuta ya bei rahisi. Mimi nipo Tunduma, karibu PM tulonge Z zaidi kwa aliye na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau habari, Nimepata mtaji wa sh. M1.5 nafikiria niizungushe kwenye mazao makavu. Msaada kwa yeyote anaeweza kufanya biashara na mimi ili nimlangulie shambani nimletee sokoni. Mimi nipo Mahenge...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
1. Tuite tukupikie kwenye shughuli yako kubwa ndogo, tunakuja popote hata mikoani tupo Dar. 2. Unaweza kununua vyakula vyako tukaja kupika tu. 3. Pia tutaweza kukukadiria vitu vya kununua...
0 Reactions
3 Replies
501 Views
Back
Top Bottom