Natafuta freezer ndogo

Natafuta freezer ndogo

NGERESHAA

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,299
Reaction score
1,809
Natafuta mtu humu mwenye Freezer ndogo aniuzie. Kuna kakijiwe kangu nataka kukamilisha.

Dukani najua zipo ila natafuta ya bei rahisi. Mimi nipo Tunduma, karibu PM tulonge Z
zaidi kwa aliye na hitaji la kuuza.
 
Ipo unataka nicheki 0712233653 WhatsApp
 
Lipo free kabisa njoo tuyajenge
IMG-20201210-WA0014.jpg
IMG-20201210-WA0013.jpg
IMG-20201210-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom