Nahitaji pikipiki ya kununua aina ya boxer

Nahitaji pikipiki ya kununua aina ya boxer

mbenda said

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2019
Posts
1,083
Reaction score
2,098
Habari wana Zengo,

Rafilki yangu anaitaji piki piki boxer ya kununua.
Yupo Dar es salaam.

Piki piki iwe namba B au C
Nahitaji mbili 125 au 150

Ofa yangu ni 850000 kwa kila moja karibuni PM wadau.

Mwenye nayo akuje PM.
 
Kwanini usinunue huyu mnyama?

1607686866922.png
 
Piki piki unayoitaka ipo sana tu
Tatizo bei yako iko chini sana.
Toa 1.3mil upate boxer cc 150
 
Mashinw ndio hii..
Nicheki tena 0744-033-555
Dar mbezi
 

Attachments

  • IMG-20201211-WA0019.jpg
    IMG-20201211-WA0019.jpg
    90.2 KB · Views: 23
  • IMG-20201211-WA0020.jpg
    IMG-20201211-WA0020.jpg
    84.2 KB · Views: 26
Back
Top Bottom