Hello good people
Natafuta single room nzuri, ikiwa na choo itapendeza zaidi..isipokua na choo pia sio issue...
Room iwe maeneo ya banana .
Tuwasiliane.!
Ndugu wa jamii,
Napenda kuwatambulisha kwenu mabingwa wa umeme wa majumbani na viwandani.
Ukiwa na mahitaji ya kufungiwa umeme nyumbani au kiwandani kwako, ramani za umeme (kwa ajili ya bima...
Samahani wakuu, ningependa kuuliza kwa wazoefu na watumiaji wa SKRILL.
Ningependa kujua uki withdraw hela kutoka kwenye account yako ya skrill kuja kwenye account ya bank, huwa inachukua muda...
Hello good people.
Natafuta single room nzuri, ikiwa na choo itapendeza zaidi..isipokua na choo pia sio issue...
Room iwe maeneo ya Banana.
Tuwasiliane!
Kwa utafiti wangu mdogo nimeona watanzania tunapigwa na wauza mabati ya ALAF kwa kuaminishwa kua yako special sana kuliko mabati mengine.
Haya mabati tunapigwa, hayana ubora wa kipekee kuliko...
Kuna eneo liko Geita lina dhahabu... Pia wapo wachimbaji wadogo wadogo pembezoni mwake...lina dhahabu za kutosha ndo maana mwenye eneo akaamua kutafuta mwekezaji ili likachimbwe kitaalamu..eneo...
Tunauza udongo au kifusi kwa Bei poa kwani tunachimba eneo la underground parking,
Tutakusafirishia mpaka site kwako
Tupo Arusha mjini
Note: hatuuzi udongo au kifusi mhitaji anachangia usafiri tu...
Machine ya kuvyatua tofali za kuchoma inauzwa,Bei TZS 8000000 complete.Ina uwezo wa kuvyatua tofali 12,000 hadi 15,000 ndani ya masaa 8.Ipo Morogoro Mjini.
Inavyofanya kazi check hapo :Tupigie...
DIGITAL STATIONARY
1. KUCHAPA (typing), KWA LUGHA ZA
(Kiswahili,Kiingereza,Kijerumani,Kifaransa,Kichina,Hindi,Kihispania na Kiarabu)
(i). Barua
(ii) Curriculum vitae (CV)
(iii) Vitabu...
Shalom, habarini za kutwa, nina interest ya kununua shamba maeneo ya kuanzia Kibaha kwenda hadi karibu na Mlandizi hapo katikati, kuanzia heka moja hadi tatu.
Isiwe karibu sana na lami, mwenye...
Jipatie mashine ya ice-cream au koni Kwa bei poa kabisa.pia utapatiwa mafunzo jinsi ya kutengeneza koni bure utapewa na mixer yake bure. Bei ni 2m , Mazungumzo yapo kidogo.
Tuwasiliane Kwa namba...
Kwa mwenye uhitaji wa kujifunza accounting package kwa kuanzia tataanza na Tally kisha Quickbooks.
Muhimu uwe na vitu vifuatavyo
1. Computer - Desktop/Laptop/Pad/Smartphone
2. Speaker - Kifaa...
Gari ipo,imepata ajali kidogo engine 1g,
vioo viwili upande wa kushoto vimevunjika..tair zote mpyaa..batry mpya.
Haina dalali..nichek kama utakua interested..0683 141402. Bei 2.5mil,maongezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.