Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

NYUMBA INAUZWA Mahali: Tabata kinyerezi Ukubwa wa kiwanja: 770 sq. M Namba ya vyumba: 3masterbedrooms, sebule, jiko, Choo cha jumuiya na stoo. Huduma: umeme na maji yapo. Bei: 90...
0 Reactions
9 Replies
919 Views
____________________________ Ni watengenezaji we vifaa vya Alminium kama vile [emoji2389]Madisha [emoji2390]Milango [emoji2391]Makabani [emoji2392]Office partition [emoji2393]Balcony...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu, Nataka kufunga car alarm system kwenye gari langu lakini sina utaalamu wa kujua ni kampuni gani napata car alarm nzuri na imara.Nataka car alarm system angalau isivuke tsh 200,000/...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Matunda yaliyokatwakatwa kama haya na kuwekwa kwenye kontena Dsm wanauza Bei gani Wapi wanapouza hapa Dsm matunda (Saladi) kama hizi
0 Reactions
3 Replies
3K Views
NYUMBA INAPANGISHWA Nyumba Ina sebule, jiko, kabati, Choo na chumba kimoja. Mahali: Tegeta kituo cha Namanga karibu na Rabininsia Memorial Hospital. Huduma: Maji, luku binafsi, heater, DSTV na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HUDUMA INAENDELEA KUTOLEWA HAUJACHELEWA 🔥🔥🔥🔥HOME TUITION PROGRAMME (HTP) IN DAR ES SALAAM 0784214792/0620875813 #Likizo Time Muda ndo huo Mwalimu wa Geography and Biology kwa wanafunzi wa 🌏FORM...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
WanaJF naomba msaada unaponunua gari kwa mtu kitu cha kwanza kufanya kabla yakuendesha ni kubadili kadi ya gari au ni kwenda police kuandikishana? Pia nasikia kuna mkataba wa kuiziana huo mkataba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa Wana jamvi, Nimeamka na dharura ya kumsafrisha mgonjwa na Mambo yangu siyo mazuri. Nalazimika kuuza laptop yangu( Kama unaweza nisaidia kupata mtu wa haraka wa kuniokoa) Walau kufikia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu vipi, (Naomba mnisaidie anaejua 'Cheese') Jibini zinapozwa nataka mzigo mkubwa. Ahsanteni
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, kwa muuzaji wa mashuka ya mahotel jumla au kama unamfahamu anayeuza kwa bei ya jumla naomba uni pm. siku njema.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rejea mada tajwa hapo juu. Chumba cha kupanga kikubwa ft 14 na kuendelea chenye choo ndani, tiles, na gypsum kinahitajika haraka. Chumba kiwe ndani ya fensi yenye geti. Bajeti 100k kwa mwezi...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Atlas compco compressors za piston 3 piston 4 na piston 6 zinaptika dar es salaam zinatumia diesel wasiliana nasi kwa namba ya simu 0710727045
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Tunauza na kukodisha vifaaa vya ujenzi.construction equipments kaka bulldozers. Graders. Wheelloder. Excavator etc wasiliana nasi kwa simu namba 0710727045
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza simu kwa Tsh 450000 ukiitaji nitafute number 0747830818.
1 Reactions
1 Replies
673 Views
MAWASILIANO YANGU 0745298903 AU 0693084522 Bei yake 8,000,000 (maongezi yapo kidogo) Ukubwa SQM 678 sawa na Mita 23 Kwa 30 Eneo lipo sehemu nzuri na iliyopangika sawa na ramani inavyoeleza...
0 Reactions
114 Replies
12K Views
Hiki kitanda kizuri sana mbao zake ni imara. Size ni 6*5 Bei ni 140,000 Eneo: Tabata Aroma Mazungumzo zaidi 0744033555
2 Reactions
5 Replies
2K Views
New MacBook Air (mid 2013) Core i7 Storage - ssd 256 GB Graphic - 5000 Ram 4gb Boxed. Top price 1.9m only MAC BOOK PRO (2015) CORE i 7 GRAPHIC 2500 STORAGE - 500 GB (HDD) RAM 4 GB Boxed Top...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamvi ,namiliki gari aina ya raum mpya kabisa. Nahitaji dereva wa uber mwenye vigezo vyake vyote aje dm tuyajenge. Nipo Dar es salaam.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom